matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,631
- 15,437
Chadema hawana hela ya kuweka matangazo.Hili suala liko sehemu nyingi sana (sio mitandaoni) mpaka mitaani, barabarani, vijijini n.k. unaweza kudhani mgombea no ccm tu. Hata posters hamna, bendera zimekuwa adimu. Kuna tatizo mahali sio bure!
Nashukuru na wewe kugundua hilo.Hili suala liko sehemu nyingi sana (sio mitandaoni) mpaka mitaani, barabarani, vijijini n.k. unaweza kudhani mgombea no ccm tu. Hata posters hamna, bendera zimekuwa adimu ..kuna tatizo mahali sio bure!
Wajitutumue angalau Mkuu.Chadema hawana hela ya kuweka matangazo
Mji ninaokaa mimi waliweka mabango na bendera za CHADEMA nyingi tu. Kesho yake tukaamka hakuna hata kimoja. So bora waache tu wasiweke. Pia kwenye billboards wameambiwa walipie TRA otherwise hakuna kuweka. Ila likiweka halitashinda hata walilipia TLB.Chadema hawana hela ya kuweka matangazo
Hahahaha nilidhani jamaa anauza misusa hahaha!Rangi ya kijani imetapakaa Meza nzima yani kama ukiangalia kwa mbali unaweza kudhani ni Meza ya muuza mbogamboga
Nakumbuka Mwanza uchaguzi uliopita kulikuwa na vita vya kuweka bendera jijini.Mji ninaokaa mimi waliweka mabango na bendera za CHADEMA nyingi tu. Kesho yake tukaamka hakuna hata kimoja. So bora waache tu wasiweke. Pia kwenye billboards wameambiwa walipie TRA otherwise hakuna kuweka. Ila likiweka halitashinda hata walilipia TLB.