Magazeti ya Mwananchi yaacha maswali Bukoba

Magazeti ya Mwananchi yaacha maswali Bukoba

Uchunguzi wangu nimegundua siku hiyo walichapa nchini uganda ndo maana bukoba yalionekana alfajiri.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mjadala huu nimeufuatilia kwa makini ili kubaini Wanamabadiliko wana maoni gani kuhusu mpango huo na jinsi gani magazeti yanaweza kuwafikia kwa wakati Watanzania wenzetu walioko mbali na Dar, lakini bahati mbaya sijaona mapendekezo zaidi kwa kuwa wengi wamekuwa tu interested na jinsi mpango ulivyofanikishwa hadi wakazi wa Bukoba wakasoma gazeti saa 12:00 asubuhi. Kilichofanyika siku hiyo ilikuwa ni majaribio, mpango kamili ndo unaandaliwa baada ya kuona matatizo yake.
 
Back
Top Bottom