steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 9,570
- 10,275
Katika utafiti mdogo uliofanywa na mimi mwenyewe leo asubuhi,nimegundua kwamba magazeti ya MICHEZO mengi hayauziki kabisa kwani kama ujuavyo MEDIA nyingi za bongo zinashabikia mno YANGA na jana baada ya kupata kipigo kitakatifu kutoka kwa wakata miwa wa MTIBWA cha 3,0,wameshindwa kuwadanganya wapenzi wa huo UONGO wao, MY TAKE:Jamani waandishi wa habari za michezo,acheni kupamba sana WACHEZAJI hata kama hawana uwezo huo,MNAUA mpira,mtu anajiona kama C.Ronaldo kumbe KIAZI tu