Magazeti nayo yanaanza kutukana kama Lusinde?

Kha! kweli tunalilia uhuru wa habari ila sidhani kama ndio hivi jamani!
 
Wadau hiki kichwa cha habari nimekiona kwenye gazeti la Spoti Starehe ya leo..
Mnaionaje hii lugha iliyotumiwa na waandishi?

bonyeza hapa ulikute gazeti lenyewe
 
waandish wasomaji,viongozi,duh list ni ndefu vyeti vya kughushi ni hatari
 
Aisee leo nyumbani kwangu nilikuwa na ugeni wa watu ninaowaheshimu sana, nikamwagiza dogo akaninunulie magazeti likiwemo hilo la la spoti starehe.
Lilipoletwa mezani, nilijiskia vibaya sana baada ya kusoma hiyo heading.
Naongea na wakili wangu nione kama kuna uwezekano wa kulishtaki hilo gazeti kwa lugha walioitumia.
 
Ma'make mwandishi
Ma'make mhariri
Ma'make msomaji
Ma'make Yanga
Ma'make Tenga
Ma'make TFF
Ma'make Gazeti

Kama umesoma post yangu ukachukia ujue Ma'make ni tusi

Hilo gazeti ni la kufungiwa kwani limeanza ku-Lusinde watu
 
Waandishi makanjanja! Yaani jamaa anatukana tusi zito namna hiyo? Yaani yeye anaona katumia tafsida kinoma! Hivi yanga hawawezi kumfungulia mashitaka ili liwe fundisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…