Magazeti nayo yanaanza kutukana kama Lusinde? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazeti nayo yanaanza kutukana kama Lusinde?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by John W. Mlacha, Apr 22, 2012.

 1. J

  John W. Mlacha Verified User

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Kweli bongo tambarare....kizazi cha dotkom kimeharibu jamii
  549369_2677699201395_1823723586_1604397_1067625738_n.jpg
   
 2. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 2,902
  Trophy Points: 280
  Kha! kweli tunalilia uhuru wa habari ila sidhani kama ndio hivi jamani!
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  duh KWELI UTANDAWAZI NOMA
   
 4. J

  John W. Mlacha Verified User

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  watu wametoa mia tano wamenunua gazeti hapo
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  mbona haieleweki sasa?
   
 6. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Aaagh, ma'make yaani haujainyaka tu?
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Huu unaitwa uhuni wa habari!
   
 8. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  upumbav.u mwingine ni hatari kwa afya yangu.
   
 9. J

  John W. Mlacha Verified User

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  huyu sio dotkom
   
 10. J

  John W. Mlacha Verified User

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Wadau hiki kichwa cha habari nimekiona kwenye gazeti la Spoti Starehe ya leo..
  Mnaionaje hii lugha iliyotumiwa na waandishi?

  bonyeza hapa ulikute gazeti lenyewe
   
 11. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,919
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  khaaaaa! hii kweli tabu..cjui watalichukuliahatua au??!
   
 12. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  kwani kuna tatzo hapo?
   
 13. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Kuna tatizo kubwa... WANAMAANISHA (SEHEMU ZA SIRI ZA MAMA)
   
 14. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Du! Ata anayelinunua naye ah!
   
 15. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Uhuni wa habari at work.
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Hili siyo Gazeti halisi, ni teknolojia tu imetumika hapo. I don't buy this story.
   
 17. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  waandish wasomaji,viongozi,duh list ni ndefu vyeti vya kughushi ni hatari
   
 18. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Aisee leo nyumbani kwangu nilikuwa na ugeni wa watu ninaowaheshimu sana, nikamwagiza dogo akaninunulie magazeti likiwemo hilo la la spoti starehe.
  Lilipoletwa mezani, nilijiskia vibaya sana baada ya kusoma hiyo heading.
  Naongea na wakili wangu nione kama kuna uwezekano wa kulishtaki hilo gazeti kwa lugha walioitumia.
   
 19. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Ma'make mwandishi
  Ma'make mhariri
  Ma'make msomaji
  Ma'make Yanga
  Ma'make Tenga
  Ma'make TFF
  Ma'make Gazeti

  Kama umesoma post yangu ukachukia ujue Ma'make ni tusi

  Hilo gazeti ni la kufungiwa kwani limeanza ku-Lusinde watu
   
 20. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,882
  Likes Received: 2,832
  Trophy Points: 280
  Waandishi makanjanja! Yaani jamaa anatukana tusi zito namna hiyo? Yaani yeye anaona katumia tafsida kinoma! Hivi yanga hawawezi kumfungulia mashitaka ili liwe fundisho?
   
Loading...