Magazeti leo J'5!!

huzuni kubwa ni nyongeza kidogo ya mshahara..kama si matusi ni dharau kubwa sana...sh 30,000 aibu sana. yaani nimegushwa sana nyongeza ingawa haijawa rasmi..lakini dharau kubwa kwa wafanyakazi..
 
Mtoa thread huu ubunifu safi sana,tupo wengine hatuna acces ya kupata magazeti kwa wakati sasa hii inasaidia
 
kweli kaka hii ni hatua ya ukweli sana .. nafikiri vijana inabidi tuige stail za namna hii.. always people should be comming with new ideas
 
Back
Top Bottom