Magazeti haya yanachefua-kila siku CHADEMA

Ukitaka kugundua kwanin wanafanya hvyo angalia mikutano ,makongamano na maandamano ya CDM Yanashirikisha watu kibao tofauti na hao ccm! Hvyo wanaandika CDM kila siku ili wauze kaka kwani kila mtu anataka kujua kuna-ni CDM?! Ccm hakuna habari,ipi kujivua gamba au mtifuano wa uvccm! nani atanunua?!.
 
Mkuki kwa nguruwe eeh, kwa binadamu......... Tehe tehe tehe. Mbona nyie mnatoa picha za watu wamelala kwenye front page? Two can play that game, ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Hivi imeandikwa wapi kila gazeti Tanzania lazima liisifie CDM? Usiwe unakurupuka! Kuna Chama kinabebwa na Magazeti kama CDM, Tanzania Daima, Raia Mwema, Mwananchi, Mwanahalisi, Nipashe, jamani kweli nyie ni wabinafsi wakubwa

Aliyekutuma amekuambia uandike haya?
 
Hivi imeandikwa wapi kila gazeti Tanzania lazima liisifie CDM? Usiwe unakurupuka! Kuna Chama kinabebwa na Magazeti kama CDM, Tanzania Daima, Raia Mwema, Mwananchi, Mwanahalisi, Nipashe, jamani kweli nyie ni wabinafsi wakubwa
Tatizo la kwanza ni kwamba gazeti la Habari Leo ni gazeti la serikali ambalo linaendeshwa kwa kodi zetu sote. halitakiwi kujiingiza katika malumbano ya siasa. hiyo ni kazi ya gazeti la Uhuru. sitashangaa gazeti la Uhuru likiandika habari za CHADEMA kila siku - ila itanionesha tu kwamba CHADEMA ni tishio kwa CCM na ndio maana inakuwa targeted na magazeti ya CCM na yale ya wapambe wake.

lakini pili, ni kwamba haya magazeti yote uliyoyataja lazima yaangalie biashara. CHADEMA sasa hivi inauza, ni chama kinachopendwa na watanzania walio wengi. kwa hiyo walio wengi wanapenda kusoma habari zake ili waone kile chombo wanachokitegemea kuwapigania kinafanya nini au kinapanga kufanya nini. ndio maana hata gazeti la CCM inabidi liandike habari za CHADEMA - japo kwa kuzipotosha - ili wauze gazeti lao. lakini huu utaratibu wa kujaribu kuwapotosha watu nao unazidi kupitwa na wakati. njia za mawasiliano sasa hivi ni nyingi na watu hawadanganyiki kama zamani. kilelezo kwamba watu hawadanganyiki ni uchaguzi uliopita ambapo CCM imetoka jasho si kama chaguzi za nyuma. na hali hii itazidi kuwa mbaya kwa CCM kadiri siku zinavyokwenda. no hope so far for the common man - CCM haina majibu kabisa kwa matatizo ya watanzania. na wanavyozidi kuuza nchi ndio kabisaa hali itazidi kuwa mbaya
 
Ukitaka kugundua kwanin wanafanya hvyo angalia mikutano ,makongamano na maandamano ya CDM Yanashirikisha watu kibao tofauti na hao ccm! Hvyo wanaandika CDM kila siku ili wauze kaka kwani kila mtu anataka kujua kuna-ni CDM?! Ccm hakuna habari,ipi kujivua gamba au mtifuano wa uvccm! nani atanunua?!.

True kaka
 
Tatizo la kwanza ni kwamba gazeti la Habari Leo ni gazeti la serikali ambalo linaendeshwa kwa kodi zetu sote. halitakiwi kujiingiza katika malumbano ya siasa. hiyo ni kazi ya gazeti la Uhuru. sitashangaa gazeti la Uhuru likiandika habari za CHADEMA kila siku - ila itanionesha tu kwamba CHADEMA ni tishio kwa CCM na ndio maana inakuwa targeted na magazeti ya CCM na yale ya wapambe wake.

lakini pili, ni kwamba haya magazeti yote uliyoyataja lazima yaangalie biashara. CHADEMA sasa hivi inauza, ni chama kinachopendwa na watanzania walio wengi. kwa hiyo walio wengi wanapenda kusoma habari zake ili waone kile chombo wanachokitegemea kuwapigania kinafanya nini au kinapanga kufanya nini. ndio maana hata gazeti la CCM inabidi liandike habari za CHADEMA - japo kwa kuzipotosha - ili wauze gazeti lao. lakini huu utaratibu wa kujaribu kuwapotosha watu nao unazidi kupitwa na wakati. njia za mawasiliano sasa hivi ni nyingi na watu hawadanganyiki kama zamani. kilelezo kwamba watu hawadanganyiki ni uchaguzi uliopita ambapo CCM imetoka jasho si kama chaguzi za nyuma. na hali hii itazidi kuwa mbaya kwa CCM kadiri siku zinavyokwenda. no hope so far for the common man - CCM haina majibu kabisa kwa matatizo ya watanzania. na wanavyozidi kuuza nchi ndio kabisaa hali itazidi kuwa mbaya

Good analysis...
 
Mkuki kwa nguruwe eeh, kwa binadamu......... Tehe tehe tehe. Mbona nyie mnatoa picha za watu wamelala kwenye front page? Two can play that game, ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Una ID nyingine tena?? Kweli chadema imekushika pabaya.Mtu mmoja una ID ya 7 sasa.Loh!!!!!!!
 
Mi nadhani waendelee hivyo hivyo kwani wanafanya promo nzuri sana kusaidia CDM ifahamike hadi vijijini, na izoeleke kwa wananchi ili ikifika 2015 watu wasitenganishe chama tawala na chama cha upinzani. Katika Marketing tunaambiwa bidhaa inayotangazwa sana ndio inafahamika zaidi kwa walaji na haya magazeti yatafanya watanzania waijue zaidi Chadema kuliko CCM.
 
Habari za Chadema zinauza kaka, huwezi kuandika habari za UPDP, JAHAZI ASILIA, DEMOKRASIA MAKINI nk, halafu ukategemea kuuza gazeti. Kwa sasa Chadema ndo chama pekee cha siasa, vingine ni SACCOS
Saaafi nimeipenda hiyo.
 
Ufinyu wa mawazo.Ina maana Mwanahalisi ni gazeti la serikali?? Na raia mwwema ni gazeti la chama??

Hivi malalamiko haya yamezingatia maslahi ya Chadema au ni uropokaji tu? Je yana baraka au yanazingatia matakwa ya uongozi wa Chadema au ni ukurupukaji? Hivi leo kama magazeti yote yakiamua kukaa kimya kuhusu Chadema hata yale ambayo wanachama na washabiki wake wangependa kuyasikia watafurahia? Ambacho muanzisha thread anashindwa kuelewa ni kwamba media huchukua topical issues na nyingi ya hizo zina-revolve around what Chadema as a party or through viongozi na wabunge wake wanakifanya au kuongea. Sasa yeye angependa habari hizo ambazo ndizo ajenda ya sasa zisiandikwe? Huyu nadhani anataka kuwe na black out ya habari za Chadema bila hata kujua madhara yake.
 
Operation Sangaraaaa...................
Tokomeza mafisadiii......................
Chaema tumaini jipyaaa..............
Okoa Tanzania yetuuu..................

Magamba wanajikanyaga,amu kuiniela aka bhalilo aka mukukosya i soni se.
 
Chadema inapewa promo sio ya kawaida kila siku front line habari mbele ya kurasa tuu hata bad publicity ni publicity sasa wananchi wana sympathise na Chadema kwa hiyo hata hayo magazeti yaandike habari ambazo ni za kweli kuhusu Chadema wananchi wanatendecy ya kudharau kwa hiyo imekula kwao
 
magazeti hayo yote ukweli ni kuwa yanafanya kazi moja tu - kumtafuta mchawi wa ccm na serikali na kisha ku'deal' nae 'perpendicularly'.kwa sasa CDM ndio tishio lao hivyo wanafanya kila wawezalo kuhakikisha wanakishambulia ili kukisambaratisha.uzuri ni kwamba hawatafanikiwa. they are mouth pierces of ccm and govt.
 
Wadau,
Kuna haya magazeti ya uhuru,jambo leo na habari leo.Imekuwa ni ajabu kwani ni lazima kila siku kuwe na heading kubwa inayouza gazeti inayohusu chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.Nimekuwa nikijiuliza wasipoandika chadema hawauzi?? Katika nchi hii kuna vyama vya siasa 18,ina maana ni chadema tu inaonekana?? Ninashangaa gazeti la uhuru badala ya kuandika mambo ya chama chake CCM imekuwa ni wimbo wa Taifa Chadema.Habari leo badala ya kuandika habari za Taifa kama gazeti la serikali imekuwa kila siku ni Chadema.Gazeti jambo leo lenye uhusiano na CCM badala ya kuhangaika kusafisha chama chake limekuwa kila siku ni Chadema.Hivi hawa wahariri hawaoni aibu?? Hivi mnadhani msipoandika chadema hamtauza habari? Kwa mfano leo magazeti yote matatu Uhuru,Habari leo na Jambo leo yana heading moja inayofanana kuhusu chadema.Inaonekana ni mtu mmoja nayesambaza habari za chadema kwenye haya magazeti matatu.Hakika inakera!!
Nawasilisha
Umesahau TBC ambayo kila asubuhi wanajifanya kufanya uchambuzi kwa nia ya kupigia debe magamba. Jamani kodi zetu!!!! haya!!
 
Hivi malalamiko haya yamezingatia maslahi ya Chadema au ni uropokaji tu? Je yana baraka au yanazingatia matakwa ya uongozi wa Chadema au ni ukurupukaji? Hivi leo kama magazeti yote yakiamua kukaa kimya kuhusu Chadema hata yale ambayo wanachama na washabiki wake wangependa kuyasikia watafurahia? Ambacho muanzisha thread anashindwa kuelewa ni kwamba media huchukua topical issues na nyingi ya hizo zina-revolve around what Chadema as a party or through viongozi na wabunge wake wanakifanya au kuongea. Sasa yeye angependa habari hizo ambazo ndizo ajenda ya sasa zisiandikwe? Huyu nadhani anataka kuwe na black out ya habari za Chadema bila hata kujua madhara yake.

Sidhani kama umeelewa conceipt ya muanzisha thread! Nilivyomuelewa mimi muanzisha mada ni kuwa, magazeti haya yanaandika tofauti na facts. Kama yangeandika Kwa hiyo topical issues zinazoandikwa kwenye media nyingine zinakuwa tofauti na zinazoandikwa na media tajwa!
 
Back
Top Bottom