Jason chagga
Member
- Aug 3, 2012
- 15
- 4
Naomba kuuliza nini tatizo linalo sababisha gari kutetemeka wakati wakushika break ukiwa kwenye speed 50 na kuendelea
Check fuse kuna moja imekata au gari yako inashoti kuna waya unagusa bodiNambo kuuliza nini tatizo linalo sababisha gari kutetemeka wakati wakushika break ukiwa kwenye speed 50 na kuendelea
yes yes, kwenye tairi za mbele kuna vidude sijui wanaviitaje nimesahau..ila vikiwa vimeisha ndio hufanya gari itetemeke hasa usukani,Kiongozi navyo ona mimi ni kwenye miguu ya mbele
Na siyo swala la umeme