Magari

Magari

Jason chagga

Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
17
Reaction score
6
Naomba kuuliza nini tatizo linalo sababisha gari kutetemeka wakati wakushika break ukiwa kwenye speed 50 na kuendelea
 
Nambo kuuliza nini tatizo linalo sababisha gari kutetemeka wakati wakushika break ukiwa kwenye speed 50 na kuendelea
Check fuse kuna moja imekata au gari yako inashoti kuna waya unagusa bodi
 
Kiongozi navyo ona mimi ni kwenye miguu ya mbele
Na siyo swala la umeme
yes yes, kwenye tairi za mbele kuna vidude sijui wanaviitaje nimesahau..ila vikiwa vimeisha ndio hufanya gari itetemeke hasa usukani,
 
Back
Top Bottom