Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,215
- 54,549
Safi
Yah!ndyo maana yakekumbe wanajirahisishia kwenda eapoti,
Well saidKazi nzuri.
Maendeleo yanaanza kwa kupenda na kukubali mambo ya nyumbani kwako.
Wanaturahisishia!kumbe wanajirahisishia kwenda eapoti,
Hahahaha watu MNA mambo!!!Kuna mtu huko akiona au u kusikia hivyo mbichwa huo ndo anachopenda
[emoji144] [emoji144] kausha mkuu kama umemjuaHahahaha watu MNA mambo!!!
Mm sisubiri agosti naanza kutumia keshoYAMEANZA KUPITA JUU TAZARA
Magari ya Kampuni ya Sumitomo Mitsui Construction Co. Ltd inayojenga barabara za juu eneo la Tazara jijini Dar es Salaa yakipita juu jana. Barabara hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Agosti.
View attachment 806514
Kwa hisani na Mwananchi co.
hii ni sawa na neno kiwanda ktk awamu hii ya baba jesca ni vigumu sana kujua kiwanda ni kipi maana definitions zote za neno kiwanda zipo tofauti kabisa na tunazozijua sio hivyo hivyo kwa fly overMmm flyover ya mita 100m....baada ya mita hizo mita foreni iko pale pale
[emoji328] [emoji328] [emoji328] [emoji328] [emoji328] [emoji724] [emoji724] [emoji724] [emoji724] [emoji724] muda sio mrefu itapigwa marufuku,wenzetu wanajivunia kupiga picha na vitu vya kwao wakat huku ndio kwanza tunazuina kupiga picha utafikiri wataiba idea ya ujenziAngalau watu wa mitaa hiyo nao watakuwa wamepata sehemu ya kupigia picha...
karibu kila theory ina mkosoaji... hivyo ni kawaida... kwa sheria zetu za mipango miji DSM ni Mega city... hapo una semaje pia...??? na mbagala ni jiji sio kanda maalum... hapo je???hii ni sawa na neno kiwanda ktk awamu hii ya baba jesca ni vigumu sana kujua kiwanda ni kipi maana definitions zote za neno kiwanda zipo tofauti kabisa na tunazozijua sio hivyo hivyo kwa fly over
Tunayotaka kuyaona kule bungeni kwa wanaotuwakilisha wao hawataki..yao wanatulazimisha tuangalie na kwenda kupanga foleni.. itakuwa kupangiana hukoNazani itakuwa hivyo... tusubiri... kwa kuwa tuna tegemea itakuwa live...
2020 tumia karata yako vizuri... usirudie makosa au kosa... kosa moja lita kughalimu...Tunayotaka kuyaona kule bungeni kwa wanaotuwakilisha wao hawataki..yao wanatulazimisha tuangalie na kwenda kupanga foleni.. itakuwa kupangiana huko
Sipotezi tena usingizi wangu kwenda kupanga foleni..2020 tumia karata yako vizuri... usirudie makosa au kosa... kosa moja lita kughalimu...