Kwahiyo wewe unajua sana kuliko wakandarasi... hahaha Tanzania banaMmm flyover ya mita 100m....baada ya mita hizo mita foreni iko pale pale
hazipigi chini,sema zitapaa..mlevi atahisi yupo kwenye ufalme wa mileleKwa edge hiyo ilivyo fupi kuna siku gari za walevi zitapiga chini hapo
daah..mkwere wa watu masikini!!..ila alisema kwamba mazuri anayaandaa yeye atakuja kusifiwa mwingineMagufuli jembe!
Tatizo liko wapi?Flyover my foot..
Hilo ni daraja
Kumbe na wewe unatujua wabongoMtu kapiga nyagi zake iko siku mtamkuta anabembea hapo
hivi,we dada upo???= mafuriko
watu wamelenga wakuu wanao toka airport ili wapite haraka harakakwenye plan kama niliona ilitakiwa kujengwa hata upande huu wa kuelekea ubungo na kule serengeti vipi ilibadilishwa!? ila hata hapo si haba
Huyo huyo utamkuta kwenye thread ingine anakwambia Dreamliner haifai....kesho utamkuta kwenye thread ingine anasema SGR ni upoevu wa pesa haina maana yoyote!Kwahiyo wewe unajua sana kuliko wakandarasi... hahaha Tanzania bana
Kwahio edge ulikuwa unashauri iwe upana gani ili hizo gari za walevi zisipige chini?Kwa edge hiyo ilivyo fupi kuna siku gari za walevi zitapiga chini hapo
Nimefurahi kukuona.= mafuriko
Unawaelewesha hawa wafuata mkumbo? Mpaka waambiewe na watu fulani ndio wanakubali.Kwa hisani ya Quora.com
The difference between Bridge and Flyover is based on the purpose of its usage and the location where it is built.
Bridges
- Bridges are built to connect two points separated by a naturally occuring region like valley, river, sea or any other water bodies, etc.
- They are usually lengthy depending upon the width of the valley or river.
- Construction over river is tedious since foundation has to be carried out on the river bed.
- Bridges are usually built for trains, buses and cars.
The Golden Gate Bridge
![]()
Flyovers
- It is a structure which joints two or more points which are separated by an accessible route/s or a man made structure to cut the traffic for faster mode of travelling.
- They are usually made over road junctions, roads, streets, etc.
- The name itself suggests that you are flying over a traffic zone.
- They are usually built for road vehicles.
![]()
JJ Flyover
Flyover my foot..
Hilo ni daraja
Mara nyingine unajidai mjuaji kumbe kalaghabaho tu!Kwa hisani ya Quora.com
The difference between Bridge and Flyover is based on the purpose of its usage and the location where it is built.
Bridges
- Bridges are built to connect two points separated by a naturally occuring region like valley, river, sea or any other water bodies, etc.
- They are usually lengthy depending upon the width of the valley or river.
- Construction over river is tedious since foundation has to be carried out on the river bed.
- Bridges are usually built for trains, buses and cars.
The Golden Gate Bridge
![]()
Flyovers
- It is a structure which joints two or more points which are separated by an accessible route/s or a man made structure to cut the traffic for faster mode of travelling.
- They are usually made over road junctions, roads, streets, etc.
- The name itself suggests that you are flying over a traffic zone.
- They are usually built for road vehicles.
![]()
JJ Flyover
suala sio upana...Bali urefu wa kwenda juu ndio mfupi sanaKwahio edge ulikuwa unashauri iwe upana gani ili hizo gari za walevi zisipige chini?