Magari yaanza kupita katika 'flyover' ya Tazara

Magari yaanza kupita katika 'flyover' ya Tazara

Sio mbaya ukiwa ktk foleni juu... ila ulevi wa madereva na ajari za ma kontena yasije leta shida kwa wale watakao kuwa upande wa chini wa flyover
Malori toka bandarini yanapita chini, yatakayopita juu ni magari toka posta mjini na Airport, magari laini laini.
 
Malori toka bandarini yanapita chini, yatakayopita juu ni magari toka posta mjini na Airport, magari laini laini.
Vipi kukiwa na makontena toka Airport kwend SGR kusafirishwa kwenda bara?? hapo baadae
 
Vipi kukiwa na makontena toka Airport kwend SGR kusafirishwa kwenda bara?? hapo baadae
Hilo daraja linauwezo wa kubeba malori ya mizigo ya ujazo wowote ule, hata zile za futi 40; nilichokuwa nasema ni kwamba huyo mdau aliyeogopa malori ya makontena kukosea njia na makontena kudondokea watu ni kwamba hana sababu ya kuogopa kwa sababu karibu malori yote ya bandarini yanapita chini.
 
Back
Top Bottom