Huko unakosema hawapitipiti vibopa that's why wamekupotezeakwenye plan kama niliona ilitakiwa kujengwa hata upande huu wa kuelekea ubungo na kule serengeti vipi ilibadilishwa!? ila hata hapo si haba
Sawa ila gharama yake ukilinganisha na faida yake ndounaona hatuna planners hii nchi inaongoza nawana siasa wanao tafuta kiki tuSio mbaya ukiwa ktk foleni juu... ila ulevi wa madereva na ajari za ma kontena yasije leta shida kwa wale watakao kuwa upande wa chini wa flyover
Lile gorofa kwani lishabomolewa?. Kalemani kiutendaji ni zero kabisa, maneno ndio mengi. angekuwa Lugora angelibomoa haraka sanaUbungo?
kumbe wanajirahisishia kwenda eapoti,Huko unakosema hawapitipiti vibopa that's why wamekupotezea
Kuna mtu huko akiona au u kusikia hivyo mbichwa huo ndo anachopendaYAMEANZA KUPITA JUU TAZARA
Magari ya Kampuni ya Sumitomo Mitsui Construction Co. Ltd inayojenga barabara za juu eneo la Tazara jijini Dar es Salaa yakipita juu jana. Barabara hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Agosti.
View attachment 806514
Kwa hisani na Mwananchi co.
Sidhani naona kuna sehemu maalum yametekwa sidhani kama wamelioua kiasi hichoNimependa japo kwa mbali naona mfumo wa utoaji wa maji na vimiminika toka juu... sasa sijui yata safirishwa kuelekea upande upi wa mafuliko...
Usijali sana mkuu, malori mengi yanayotoka na kuingia bandari yanatumia Mandela Rd. Na hayo ndo yanayopita eneo hilo kwa asilimia kubwa so yatakua yanapita chini kama kawaida.Sio mbaya ukiwa ktk foleni juu... ila ulevi wa madereva na ajari za ma kontena yasije leta shida kwa wale watakao kuwa upande wa chini wa flyover