Kwa wanaopafahamu tazara watakubaliana na mimi kuwa angalau tatizo litapungua kwa asilimia zaidi ya 50. Pia kwa pale nadhani nafasi ya kujenga interchange haitoishi bila kubomoa sehemu ya kiwanda cha azam, Jengo la hospital ya Dar group, Ofisi za TAZARA, Kituo cha TV cha azam. Gharama ya fidia kwaajili ya kubomoa vitu hivyo bila shaka ingekuwa kubwa mno kiasi kwamba serikali ikaamua kuchagua option ya kuweka daraja baadala ya interchange za maana kama walizonazo wenzetu wa kenyaMmm flyover ya mita 100m....baada ya mita hizo mita foreni iko pale pale
Hata gari huna lakini kelele nyingii, duh.Mmm flyover ya mita 100m....baada ya mita hizo mita foreni iko pale pale
Hiyo interchange inakuja pale Ubungo. Tazara ni flyover, ingawa vijana wa ufipa wazungusha mikono wanakataa na kuiita daraja.Kwa wanaopafahamu tazara watakubaliana na mimi kuwa angalau tatizo litapungua kwa asilimia zaidi ya 50. Pia kwa pale nadhani nafasi ya kujenga interchange haitoishi bila kubomoa sehemu ya kiwanda cha azam, Jengo la hospital ya Dar group, Ofisi za TAZARA, Kituo cha TV cha azam. Gharama ya fidia kwaajili ya kubomoa vitu hivyo bila shaka ingekuwa kubwa mno kiasi kwamba serikali ikaamua kuchagua option ya kuweka daraja baadala ya interchange za maana kama walizonazo wenzetu wa kenya
Waache wadondoke kwanza ndio watajifunza (kibongo bongo).Hizo kingo hizo... Hizo kingo tuziimarishe zaidi... Mi nawajua ndugu zangu wabongo.
Mmm flyover ya mita 100m....baada ya mita hizo mita foreni iko pale pale
Nenda kaishi huko Nairobi basi. Tatizo nini?Compare and contrast- Museum hill interchange Nairobi kwa baba Moi.