magari ya wanajf.

magari ya wanajf.

Pamoja kaka, usisahau kuweka yako pia 😉
mi sina mkuu ila nikilala huwa naota naendesha landd rover 110 ser blaser.
blaser_03.jpg
 

hahahaaaaa! mkuu nimetabasamu leo mapema sana.... hiyo dedication imekaa poa sana!

ila mimi napendelea sana swimming with big big fish japo uwezo sina!

ndoto yangu ni kuja kuendesha Gx V8! napenda sana hizi gari...

now the issue is money!... but sure i shall get them one day...
 
Last edited by a moderator:
Ina maana wana jf ndo wanaongoza kwa kusababisha foleni hapa Dar?
 
Na mimi langu kabla ya kujiunga JF nimelipaki tu kwa kumbu kumbu kama unavyoliona.
Lakini baada ya kusoma thread za wadau wa JF na kuhudhuria majukwaa mbali mbali nimeweza kununua dala dala yangu ya kupiga ruti za mbeya. JF juuu.....kwa wale wote mnaotaka magari njooni JF mtapata tu baada ya muda mfupi kama kule kwa Mzee wa upako.
 

Attachments

  • 10450852_504761992991524_3103038358784518921_n.jpg
    10450852_504761992991524_3103038358784518921_n.jpg
    32 KB · Views: 184

Similar Discussions

Back
Top Bottom