Magari ya Serikali wasiuziwe mabosi

Magari ya Serikali wasiuziwe mabosi

Haya magari yamegharimu 200M+ hadi 400M+ kwa bei ya "kuuziana" yatanunuliwa kwa nusu ya bei halisi (hasara).
Binafsi nimeanza kujipanga Sasa lazima nilimiliki li v8 aisee kupitia zari hili,
Nitakua malitoa ndani siku kwenda mnadani ,nikilipaki linasubili mnada mwingine lisije nifilisi
Mh Mwigulu ununuzi wa magari utangazwe wazi msilazimishe watumishi kuyamiliki wakati sie huku tumeanza mikakati
 
🤣🤣🤣🤣🤣😅
 
Unipitiage mkuu🤝🏻🤝🏻🤝🏻😎
 
TEMESA au gereji za kawaida classic
Hizo ni bei za madukani kwenye genuine
Ukija kwenye bei za counterfeit au copy za china ambazo ndio zimejaa kwa wingi ni kama ifuatavyo
Oil filter 1pc 10,000
Diesel filter 1pc 10,000
Air filter 1pc 25,000
Ac filter 1pc 10,000
Gearbox oil WS 8liter 120,000
 
Yanaondolewa yote iwe kwanada au kwa vinginevyo..

Tutakachookoa ni kikubwa kuliko hasara unayoizungumzia wewe..

Madereva wakistaafu hakuna ajira mpya,wengi wa madereva ni WA mkataba kwa hiyo watalipwa Chao na wataondoka..

Iliwesekana kwa wahudumu na walinzinsembuse hili?
Laiti ungewahi kufanyakazi huko,usingesema haya.Serikali hununua magari kila baada ya miaka mitano,inamaans haitaajiri madreva madreva?Au hayo mapya watauziwa tena.
Serkali ingedhibiti matumizi ya vyombo vya usafiri kwa kanuni zilizoachwa na waingereza ambazo hazikuruhusu mianya ya uvujaji wa fedha;lakini wajanja wamezibadilisha kwa kigezo cha uwongo cha UFANISI
 
Utaratibu unaotumika kwa Wabunge ndio utatumika na huku Serikalini.
 
Nafikiri ukiondoa ongezeko la kodi ndio unapata 500K VX V8 ni gharama sana kulihudumia.

Likely gari ya diesel yeyote service yake huwa aghali.
 
Hizo ni bei za madukani kwenye genuine
Ukija kwenye bei za counterfeit au copy za china ambazo ndio zimejaa kwa wingi ni kama ifuatavyo
Oil filter 1pc 10,000
Diesel filter 1pc 10,000
Air filter 1pc 25,000
Ac filter 1pc 10,000
Gearbox oil WS 8liter 120,000
Mkuu TEMESA wamekuwa wahuni jawaweki OG parts
 
Laiti ungewahi kufanyakazi huko,usingesema haya.Serikali hununua magari kila baada ya miaka mitano,inamaans haitaajiri madreva madreva?Au hayo mapya watauziwa tena.
Serkali ingedhibiti matumizi ya vyombo vya usafiri kwa kanuni zilizoachwa na waingereza ambazo hazikuruhusu mianya ya uvujaji wa fedha;lakini wajanja wamezibadilisha kwa kigezo cha uwongo cha UFANISI
Mkuu achana na hii pimbi
 
Yatafanyiwa service kwa 30m na kupeana kwa 3m.
Umesahau enzi za Msoga
Mzee wangu aliwahi kuuziwa LandCruiser hardtop au mkonga kwa laki 3 😂😂😂 akiwa mkuu wa Idara. Haya mambo yapo jamani
 
Nakwambia hata milioni 10 haitafika, solution ni wawe wanatangaza tenda za usafiri kama ilivyo kwa kampuni ya TBL yenyewe haina magari inakodisha tu
Wamegundua magari kuyaendesha ni gharama sana bora walipe invoice tu.
 
Haya magari yamegharimu 200M+ hadi 400M+ kwa bei ya "kuuziana" yatanunuliwa kwa nusu ya bei halisi (hasara).

Hawa madereva mtawafukuza kupunguza wage bill?
Wazo langu ni kuyatoa TEMESA kila ofisi itafute garage yao kwa ajali ya service.

TEMESA wanapiga sana magari ya serikali hadi najiuliza hii ni taasisi ya UMMA au kuna wanufaika wachache wanaimiliki?

Gari service ya kawaida ya kumwaga oil ya engine na gearbox na kubadili oilfilter gharama inakuja si chini ya 500k.

Mafundi wao ni vilaza sometimes wanaokota vijana wa garage kuwasaidia kurekebisha baadhi ya mambo (najua hii maana nahusika).

Napinga hili maana ni kutupiga kama enzi za JPM na Mkapa walipouza nyumba za Serikali.

Haya magari hata wakiuziana mafuta yataendelea kugharimikiwana serikali kama ilivyo kwa magari ya WABUNGE.

Mengine ntaongezea baadae au asubuhi.
Mwenye ziada aendelee kuongezea

Hata hili la waliotenguliwa uteuzi kwenye vyeo vya uteuzi kama wakuu wa Taasisi, Wakuu wa Idara, Wakuu wa Mashirika ya Umama na Wakuu wa Wakala wa Serikali, kurudishwa kwenye nafasi zao za awali haliwezekani maana nafasi zimeshajazwa wage-bill itabaki palepale labda kwa wale watendaji ambao wakati wanateuliwa walitolewa sekta binafsi hao utumishi wao unakoma.
wewe unadhani kwa nini wamekatengeneza hako kadili si wanajua kuna magari mengi na mazuri yanayotumiwa na hao viongozi wa taasisi hivyo watajiuziakwa bei chee na wao watauza kwa bei ya mruko.
 
Back
Top Bottom