MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 339
- 512
Salam wanajanvi,tumekuwa tukiona pikpik na Magari mabovu vikiwa vimelundikwa kwenye vituo vya Polisi mf.Pale urafiki.Swali hivi hakuna Sheria/ muongozo unaowaruhusu Jeshi kuzipiga mnada Mali hizo endapo Kama imekaa muda mrefu na mwenye nacho haji kuigomboa/ ameitelekeza.Lengo ni kufanya vituo viwe safi, sio kujaliwa na Magari/ pikpik mabovu