mkuu hongera sana.. upo very smart kwenye majibu yako.. kweli umejipanga kibiashara aisee.. sio
'post-and-run'
big up!!
Mkuu naweza pata suzuki swift kwa 5M?
ni pm kaka alafu kama unafanta biashara ya uwazi kwa nn usiweke number ya simu yako hapa tukakutwangia
Mkuu hata mimi nahitaji hiyo swift but mbona bei yako ni very expensive sana?Mkuu kwa kweli upo chin kidogo kwa bei hyo.... Ngoja tuendelee kuchek lakin kwa sasa ipo ya mwaka 2002 km 83000 kwa sh 8.8million. Ila nakushauri ongezaongeza ili ipatikane kiurahis na kwa haraka kidogo
Bei nafuu sana....
Toyota costa '93- 29m
Toyota corona premio-9.5m
Vitz 2000-8m
Ist 2002-12m
Kruger-19m
Prado '01-33m
Carina TI 7.5m
Na kadharika.... Serious buyers please ni-pm!!!
Mkuu hata mimi nahitaji hiyo swift but mbona bei yako ni very expensive sana?
Plz kiongozi naomba picha za hiyo carina TI na toyota costa kama inawezekana.
I have 7.5M.Mkuu unajua bei tunapanga kulingana na jins gar ilivyopatikana kule japan na mambo ya ushuru na kusafirisha, katika hali ya kawaida wewe ultegemea iwe/una shi ngapi mkuu?
I have 7.5M.
Nakusubiri mkuu.Mkuu ngoja niongee na boss ntarudi kwako
Nakusubiri mkuu.
Mkuu kama hutojali naomba specifications zake zote muhimu.Mkuu tutakupatia ya mwaka 2000 ila kwa 7.8m. That's the best we can do. Karibu sana mkuu
Mkuu kama hutojali naomba specifications zake zote muhimu.
Chek attach mkuu
Mkuu asante. nimeiona.
Mkuu brevis inaenda vp?