- Thread starter
- #61
Nasubiri ofisi ifunguliwe
Sawa karibu sana mkuu, tar 1may itakuwa ishafunguliwa
Nasubiri ofisi ifunguliwe
Nategemea kutafuta TOYOTA - CAMI, K3 ... so soon, npo very serious, ukiktana nayo nzuri ni-PM haraka ....
Mkuu!Nipe bei ya Landlover freelander! Ya2004!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Namimi nahitaji hii
Nitashukuru mkuu!Sawa ntakujibu mkuu
Bei nafuu sana....
Toyota costa '93- 29m
Toyota corona premio-9.5m
Vitz 2000-8m
Ist 2002-12m
Kruger-19m
Prado '01-33m
Carina TI 7.5m
Na kadharika.... Serious buyers please ni-pm!!!
Toyota IST inaenda bei gani mkuuu
Mkuu hiyo inauzwa 17.5m tu! Karibu mkuu
Kawaida ya gari ni miaka 4 tu kwa barabara za wenzetu hapa Bongo wiki mbili kwa barabara zetu. Sasa uje nunua gari la mwaka 1993 uje ulete Bongo si kujitakia presha tu? In short, haya magari yote yameoza na hayana nafasi huko kwao ndiyo maana wanaleta hapa Bongo kuja kuozeana na kujaza foleni barabarani.
Asante mkuu! Ila ni parefu sana hapo kuliko hata za showroom hapa bongo!
Nahitaji gari ya 4m
Nahitaji Toyota Touring Hiace ya 2001 au 2002 unayo?
Mkuu!Nipe bei ya Landlover freelander! Ya2004!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Nategemea kutafuta TOYOTA - CAMI, K3 ... so soon, npo very serious, ukiktana nayo nzuri ni-PM haraka ....
Nipe bei ya toyota raum..