Magari moja kwa moja toka Japan

Magari moja kwa moja toka Japan

FOB?
Then transport,taxes ni juu yake?
Hiyo siyo FOB bali ni CIF.

Possibly but what I ment is hyo ni bei ya kununulia kule japan na haihusishi gharama ya kufika hapa tz! Vp mkuu umezipata picha za bighon, wizad na noah? Nimekutumia!
 
Mkuu vipi harrier ya 98 au 99, ya cc 2200, FWD with less than 100,000 milage isiwe nyeupe, naweza kupata kwa bei gani?
 
Mkuu vipi harrier ya 98 au 99, ya cc 2200, FWD with less than 100,000 milage isiwe nyeupe, naweza kupata kwa bei gani?

Mkuu ipo harrier ya 98 cc2200 bei yake 18.5m tu!!! Hatuna bei kabisa mkuu
 
Possibly but what I ment is hyo ni bei ya kununulia kule japan na haihusishi gharama ya kufika hapa tz! Vp mkuu umezipata picha za bighon, wizad na noah? Nimekutumia!
Hazifunguki mkuu!
 
Mkuu!Nipe bei ya Landlover freelander! Ya2004!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkuu odg isuzu bighorn ntapata kwa sh.ngap.?
 
Last edited by a moderator:
Nategemea kutafuta TOYOTA - CAMI, K3 ... so soon, npo very serious, ukiktana nayo nzuri ni-PM haraka ....
 
Mkuu odg PM yangu kwa niliyokuuliza pls!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom