Magari 300 ya jeshi

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,429
9,717
Nakumbuka mgomo uliopita tulipata taarifa kuwa jeshi liliandaa magari 300 ili kuukabiri huo mgomo. vipi sasa yameshaanza kazi?
 
walipokuwa wanaahidi walidhani kwamba mgomo wa madereva hautajirudia tena. yaan sasa wameumbuka. Maana sioni hata basi la jeshi ambalo linasafirisha abiria kama daladala.
 
Sasa hivi waandae na ndege za jeshi, hali siyo kabisa
 
Yatakwenda wapi na wapi? maana mgomo ni nchi nzima! kuanzia daladala mpaka mabasi ya mikoani, sasa hayo 300 yatatosha?!
 
Sasahivi zimetoka Dar express nne tu kwenda Arusha, mengine lini!?
 
wapi na wapi kutumia jeshi kila mgomo! ma dr wagome jeshi, wapiga debe wagome jeshi, madereva wagome jeshi, wakina mamam wagome home jeshi, Jeshi nalo linajidhalilisha!!!!
 
Back
Top Bottom