TANZIA Magambo Makongoro Amefariki Dunia

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
22,455
Reaction score
32,981
MAGAMBO MAKONGORO AMEFARIKI DUNIA

Kwa wanaomfahamu Magambo Makongoro amefariki leo hospitali ya muhimbili, maziko kesho Kisutu Alasiri.

Msiba upo nyumbani kwake Msasani opp na nyumba ya Mzee Rais Mwinyi Mikocheni.
Nimepokea taarifa hiyo hapo juu hivi punde.

Magambo tunajuana toka udogo wetu ni mtoto wa Chief Makongoro.

Tulipokuwa shule tukifanya picnic yeye akitupeleka Kigamboni nyumba ya mapumziko iliyokuwa ya Gavana wakati wa ukoloni na kwa wakati ule baada ya uhuru ikawa iko chini ya Mwalimu Nyerere kama Rais wa Tanzania.

Mwalimu alikuwa haitumii nyumba hii na Magambo yeye kwa ule usuhuba uliokuwa baina ya baba yake na Nyerere alikuwa mtoto wa nyumbani State House.

Nakumbuka siku zile hata jina hili la Ikulu lilikuwa bado.

Magambo alikuwa mwenzetu na mchezo wetu ulikuwa mmoja pamoja na Kleist na mdogo wake Ebby, Yusuf Zialor, Wendo Mwapachu, Bubby Bokhari, Christopher Faraj, Abdallah Mohamed Saleh (Tambaza), Abdul Mtemvu, Edward Makwaia (sasa Chief wa Siha), Abdallah Mgambo, Eyshe na Mariam Max, Erica Kisa, Janet Zebedayo, Haitham Rashid, Esther Mzena wenzetu wengine wengi siwakumbuki.

Wenyewe tukijiita Scorpions na wengi tulikuwa wanafunzi St. Joseph's Convent.
Baadhi wemetangulia mbele ya haki.

Miaka ya kati Magambo alikuwa akifanya kazi Inter King iko Mbezi wanafuga kuku.

Mara ya mwisho miaka michache nyuma mwezi wa Ramadhani tulikutana Masjid Ngazija alikuwa na Abraham Sykes.

Nakumbuka siku ile walinishambulia sana kwa kunichangia ati mie najidai sana na Msikiti Ngazija nauona kama mali yangu nikiwaona wao wanakuja kusali pale roho inaniuma.

Haya ndiyo yalikuwa mapenzi yetu tulikutana lazima tubwatizane huku tunacheka.
Nilipoteana na Magambo kwa muda hatujaonana.

Allah amsamehe na amtie Firdaus.
Amin.

1747739296310.jpeg

Magambo Makongoro
 
MAGAMBO MAKONGORO AMEFARIKI DUNIA

Kwa wanaomfahamu Magambo Makongoro amefariki leo hospitali ya muhimbili, maziko kesho Kisutu Alasiri.

Msiba upo nyumbani kwake Msasani opp na nyumba ya Mzee Rais Mwinyi Mikocheni.

Nimepokea taarifa hiyo hapo juu hivi punde.

Magambo tunajuana toka udogo wetu ni mtoto wa Chief Makongoro.

Tulipokuwa shule tukifanya picnic yeye akitupeleka Kigamboni nyumba ya mapumziko iliyokuwa ya Gavana wakati wa ukoloni na kwa wakati ule baada ya uhuru ikawa iko chini ya Mwalimu Nyerere kama Rais wa Tanzania.

Mwalimu alikuwa haitumii nyumba hii na Magambo yeye kwa ule usuhuba uliokuwa baina ya baba yake na Nyerere alikuwa mtoto wa nyumbani State House.

Nakumbuka siku zile hata jina hili la Ikulu lilikuwa bado.

Magambo alikuwa mwenzetu na mchezo wetu ulikuwa mmoja pamoja na Kleist na mdogo wake Ebby, Yusuf Zialor, Wendo Mwapachu, Bubby Bokhari, Christopher Faraj, Abdallah Mohamed Saleh (Tambaza), Abdul Mtemvu, Edward Makwaia (sasa Chief wa Siha), Abdallah Mgambo, Eyshe na Mariam Max, Erica Kisa, Janet Zebedayo, Haitham Rashid, Esther Mzena wenzetu wengine wengi siwakumbuki.

Wenyewe tukijiita Scorpions na wengi tulikuwa wanafunzi St. Joseph's Convenient.

Baadhi wemetangulia mbele ya haki.

Miaka ya kati Magambo alikuwa akifanya kazi hii kampuni Chick King sikumbuki jina vizuri Iko Mbezi wanafuga kuku.

Picha wengine hatumjui
 
View attachment 3339866
Magambo Makongoro
Hata sisi tunafiwa pia.

Na hatuleti misiba mitandaoni.

Matatizo yenu na watu wenu wa karibu, msifikiri ni matatizo hayo ni ya kila mtu.

Mnapopata misiba, siyo kwamba inamhusu kila mtu.
 
Hata sisi tunafiwa pia.

Na hatuleti misiba mitandaoni.

Matatizo yenu na watu wenu wa karibu, msifikiri matatozo hayo ninya kila mtu.

Mnapopata misiba, siyo kwamba inamhusu kila mtu.
Anatoa taarifa kama una mjua ...so kama humjui unapita kimya kimya ..... kwa ukisikilza matangazao ya vifo redio nayo huwa unachukia ...... we pita kimya kimya kama umesikiata matangazo ya vifo redio
 
Ndugu punguza hasira kwa sababu pia ni hatari kwa afya. Ulichoandika kimekuvua nguo hadharani
Bora hata kilichonivua nguo.

Wengine hawajui ndugu zao kama wapo au hawapo, wamekufa au wako hai.

Wangine wamepigwa nondo vichwani wako ICU.

Ila kizee kimoja kinataka watu wake wakipata shida ndio kila mtu asikitike
 
RIP Mzee wetu.

Nimeona leo Whatsapp status mtoto wake mmoja amempost. Nimewah fanya kazi na mtoto wake mmoja kwenye kampun za mawasiliano.

Anazikwa kesho - Kisutu .
Mtoto wake huyo ni swahiba na aliwah kuja kwenye msiba wa Dada angu. inshallah nitahudhuria msiba/mazishi ya Baba yake.

RIP Baba Makongoro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom