Ushauri wa bure kwa mods!
Ni vema kutoa online seminar ya jinsi ya kuanzisha thread kama hzi, haiwezekani unaanzisha mada ambayo inakuwa inaelea hewani kwani ni wanajf wangapi unauhakikia wamefuatailia na wangapi hawajafuatilia wengi wakiwa nje ya nchi. Kma umejisikia kushirikisha watu ulichokiona ama kukisikia basi toa taarifa madhubuti na iliyokamilika. Mfano mpaka sasa nimeshindwa kujua jamaa amezungumza nini hasa mpaka wengine wanamkubali na wengine wanampinga? Mada inaweza kuwa nzuri lkn ikakosa wachangiaji kwa kuwa taarifa zake hazijitosherezi ipasavyo kwa mtu ambaye hajui kilichokuwa kinaendelea.