kishaija
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,049
- 1,197
Qur'an ni kitabu kinachowakilisha uislam(hilo halina ubishi)halafu Qur'an hiyohiyo inaonesha uislam sio din ya haki!!Asante Qur'an umeonesha uislam sio dini ya Haki wala usawa
HUJIELEWI wew...

Mkuu ni vema ukasaidia kwa ufafanuzi kuliko kuishia kukebehi. Tusio waislam tunasikia mengi mabaya kuhusu Islam. Kwa kifupi haya yaliyo ktk mada hii nami nimeyasikia sana tu, cha muhimu tunaomba ufafanuzi kwa rejea ya Quaran ili tusipotoshwe zaidi.hakuna jambo baya kama mtu mzima kukurupuka na kuongea asicho kijua, ujinga sana.

Ukiua mtu mmoja "muislamu" na Ukiokoa mtu mmoja "muislamu".Dini inasema " ukimuua mtu mmoja ni sawa na kuangamiza the entire world na ukiokoa maisha ya mtu mmoja ni sawa na kuokoa maisha ya binaadam wote". Wengi wetu tunashindwa kutofautisha uhalifu unaotendwa na waarabu na watu wengine wanaojinasibisha na dini. Hao ni magaidi na wahalifu tu. Hakuna mahali dini ikaagiza ushenzi huo.
"Ambao hawapati hedhi"= under age65:4
Na wale walio sita hedhi miongoni mwa wanawake wenu, ikiwa mnayo shaka, basi muda wa eda yao ni miezi mitatu, pamoja na ambao hawapati hedhi. Na wenye mimba eda yao mpaka watakapo zaa. Na anaye mcha Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu humfanyia mambo yake kuwa mepesi
4:3
Na wapeni wanawake mahari yao hali ya kuwa ni kipawa. Lakini wakikutunukieni kitu katika mahari, kwa radhi yao, basi kileni kiwashuke kwa raha
If you have a spare time. Al-Qur'an al-Kareem - القرآن الكريم
Sina haja kuendelea, mod futa upuuzi huu
Mkuu ni vema ukasaidia kwa ufafanuzi kuliko kuishia kukebehi. Tusio waislam tunasikia mengi mabaya kuhusu Islam. Kwa kifupi haya yaliyo ktk mada hii nami nimeyasikia sana tu, cha muhimu tunaomba ufafanuzi kwa rejea ya Quaran ili tusipotoshwe zaidi.

Hii itakuwa ni quran nyengine sio ile alioteremshiwa mtume Muhammad (SAW) labda ndiyo zile wanazo print mayahudi.