mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 994
- 576
Mie nataka waendelee kuwapiga tuu tuone mwsh wake mwenyezimungu atakapo tupa uhai tokea mie nakua miaka ya 80-90 Mandela anaitwa gaidi anaachiwa mpk amekufa chuki yake kwa Israel haikusaidia kitu kutokana na mauaji na uuzaji wa silaha wa Israel kwa makaburu huu mzozo upo na wazee wangu waliukuta mpk wewe umeukuta na utauacha...hilo la ubakaji lilikua je kua je? ..October 07 ni tukio lililofanyika chini ya dakika 18 walibaka mda huo yanii ni ajabu sanaa unacho andika...kama maswali niliyokuuliza na bwabwaja mbn ulijibu hujui chanzo cha October 07...Wewe unaongozwa na mihemko ya kidini na kuanza kulajmy nchi za kiarabu kwa nini haziwapokei hao vibaka wa kipalestina wao wanawatumia zaidi ya wewe unavyowajua wmefanya vituko vya kutisha katika nchi mbalimbali hapo uarabuni hivyo hawataki kurudia makosa.
Pili nchi hizo haliwezi kununua ugomvi ambao si wao maana nchi hizo hazijawatuma wafanye mauaji ya Oct 07,2023 sasa ninyi mnaolalamika na kuzilaumu nchi za kiarabu mna Tumia akili za wapi???
Nakuona unabwabwaja sana na kuuliza maswali ya kijinga kabisa unaona ajabu gani Saudia na Jordan kuzuia makombola yanayopita kwenye anga lake kwenda Israel? Unajua wana mikataba gani? Je wewe hujui kuwa ni makosa kutumia anga la mtu mwingine kwenda kushambulia nchi nyingine bila ridhaa ya mwenye anga?
Imekuwa uking’ang’ana kusema vinasaba!! Vinasaba!! Mara mgaratia hapa suala si Vinasaba wala Mgaratia hapa ni HAKI tu Oct 07,2023 Hamas walivamia wakabaka,wakateka na kuua watu 1,200 kitendo hicho ndicho kilichowafikisha hapo walipo sasa wewe unayewaonea huruma endelea kubwabwaja na elewa kubwabwaja kwako hakutapunguza kipigo wanachoendelea kupigwa. Dawa ni kuwarejesha mateka tu.
Tuje mikataba hao Israel ndo wana haki ya kurusha na kutumia anga za Saudia Arabia na Jordan ila Iran hana...uongo ulioje huu..
Kwa nini wakatae ombi la Trump kupokea wa Palestine na wana mikataba...eti waarabu hawataki kuwapokea sababu ni mafedhuli sijui wamefanya vituko mbn USA ina wakimbizi wa kipalestine washndwe waarabu?..na wapi hapa nilitaja kifungu cha dini zaidi nakwambia siasa za mashariki ya kati huzujui zipo mbali sanaa na wewe..nimekwambia policies and political za mashariki ya kati jaribu kutenganisha na ugalatia wako...kwani hao waarabu hawajui hao ni waarabu wenzao kwa nini ifunge mipaka yao....cha msingi wamalizane ndo walichoamua hayo mataifa ya kiarabu sababu ipo wazi Iran ndo running wa kila kitu kuanzia October 07 mpk sasa...huku Israel ikijaribu kukata mizizi ya muiran kila kona kila nchi ndo mana'ke inaendesha operesheni zake Lebanon na Syria ili kusiwe na connect yyt na Hamas Palestine..sasa huo msala kaachiwa Israel lkn kinachoendelea tofauti na kusudio lake Gaza yote ipo tambalale , bara bara mashule mp hospital zimefukuliwa juu chini lkn mwsh wa siku bado Hamas wanaonekana huku wakiwa na magari mapya na mavazi mapya ya kijeshi je wanajificha wapi na wateka wamewaweka wapi