Magaidi wa Hamas watoa video ya propaganda

Zumaridi na huyo Papa Francis wana Kuhusu wewe mimi hawanihusu
Kama wewe hawakuhusu je hao wanao kuhusu wewe Israel sera yao ya kutambua ushoga na mpk sherehe zake kila mwaka zinafanyika Tel Aviv na mpk hili baraza la mawaziri lina mashoga takribani wa 3 ukibisha tutakupa na majina mbn hatuoni ukiiimba mapambio
 
Mbona ushoga haukutoki mdomoni mwako!! Au wewe Una Hisa kwenye huo ushoga!?
 
Mgalatia usijifanye una ruka ruka kushabikia vita na kujiona unajua kila kitu
Tunakwambia upande wa pili wa wazayuni sera yao ipo wazi ushoga ruksa na kwny baraza la mawaziri la Netanyahu wapo...
Nikuulize swali kwhy weeh kila baada ya masaa una post kuhusu vita ya yanii wewe ni mwanajeshi sio...?
 
Magaidi wa Hamas watoa video ya Propaganda baada ya kuona kipigo kwa magaidi hao kimezidi. Wamesahau kuwa ISRAEL HAITISHIWI NYAU!!
View attachment 3306612
June 2020
Israel is set to have a record number of openly gay MPs after new rules allowing cabinet members to give up their seats came into effect.

Six gay MPs from five parties across the political spectrum will serve in the 120-seat Knesset as a result.

Last year, Israel appointed its first openly gay minister.

The country has the most progressive attitude towards LGBTQ people in the Middle East, despite opposition from some conservative sections of society....hizi sasa ndo sio propaganda ...weeh mgalatia
 
Hahaha yani mko vitani, halafu unamtishia mwenzio ajiandae utampiga? Kama unaweza fyatua tu, warning za nini?
 
June 2020
Israel is set to have a record number of openly gay MPs after new rules allowing cabinet members to give up their seats came into effect.

Six gay MPs from five parties across the political spectrum will serve in the 120-seat Knesset as a result.

Last year, Israel appointed its first openly gay minister.

The country has the most progressive attitude towards LGBTQ people in the Middle East, despite opposition from some conservative sections of society....hizi sasa ndo sio propaganda ...tu tu mgalatia
Inaonekana na wewe unataka kuwa Shoga!! Hakuna mtu anakuzuia wewe endelea tu kufukunyuliwa!!
 
Ushapanic unaanza kunitukana kwmb mie ni shoga je kama mie ni mlemavu?..au smartphone hizi zinakudanganya kwmb humu sie wote ni wakamilifu?
Nijibu hoja zangu unashabikia mashambulizi na vifo vya watu kiasi unasema wafyekelewe wote mgalatia hakuna mwanadamu aliyepewa mamlaka ya kuuwa kiumbe chcht humu alichoumba maulana.
Serikali ya Israel wana sera yao ya openly gay chini ya baraza la mawaziri,Netanyahu ameteua mawaziri mashoga zaidi ya 2....sasa tupate picha ikiwa hekalu takatifu litakua linaendeshwa lote na mazayuni si ndo watakuja na waraka mwngn kama wa Papa Francis...na isitoshe kati ya viongozi wa dini ya kiislam na nyie wagalatia ni viongozi gani wana promoting gay policies?....
 
Haya ya ushoga mimi yananihusu nini! Hata kama huyo waziri ni shoga wayahudi wengine yanawahusu vipi! Hiyo ni Person Issue sasa huwezi-Generalized!,
Umesema na shabiki a mashambulizi mbona wao Oct 07,2023 walifanya unyama wa kutisha hata wewe sikukusikia ukipinga unyama huo sasa hivi Israel inataka watu wake waliotekwa mnapiga kelele tulieni au vumilieni tu.
Israel ilishasema rudisheni mateka na vita vita is ha sasa hamas wameshupaza fuvu acha wafyekwe tu mbona wao walifanya na hakuna aliyepinga!
Mimi sasa hivi niko huku hayo mambo ya Ushoga si wote kama ilivyo huko kwenu si wote mashoga kuna watu na heshima zao kama Tanzania tu!!!. Na ni uongo kuwa serikali Ina Promote ushoga hiyo haipo ni ninyi tu mnadanganyana huko ili kuwapaka matope wayahudi. Dini ya kiyahudi inapinga ushoga kabisa!!
 
Unapingana na uhalisia wa serikali ya Netanyahu ya openly gay policies...ushoga ni ruksa chini ya hao hao mayahudi kivipi dini ipingane na sera zao?...
Msingi wa October 07 2023 nini kilikua chanzo nataka nione knowledge yako kuhusu huu mzozo...?
Kwanini wanamgambo wa Hamas walienda kuvamia?
Na Kwanini ulinzi na majeshi ya Israel yalizembea?
Na unijibu kwa nini nchi za kiarabu zenye nguvu kama Saudi Arabia na Egypt yanaunga mkono na kuacha kinachoendelea?
Yani unaamini kabisaa uharibifu wote ni kwa sababu ya mateka?
Na hujiulizi kwa nini nchi za kiarabu zipinge mpango wa Trump lkn zinaendelea kutazama kinachoendelea
 
Kwa sababu inaonyesha umejazwa na Propaganda mbaya dhidi ya Wayahudi huwezi kuamini kuwa dini ya Kiyahudi inapinga Ushoga na serikali ya Israel ime-legalize tu Ushoga lakini hai- Promote huo ushoga.
Kuhusu msingi wa Oct 07,2023 nafikiri ukiwauliza Hamas wanaweza kukupa jibu zuri lakini mimi siwezi kukupa jibu sana sana nitakuwa nakisia tu. Maswali ya kwa nini Hamas walivamia Israel mimi ni ngumu sana kujua.
Kuhusu kuzembea kwa askari wa Israel mpaka kukasababisha Oct 07,2023 huko ni kuzembea tu hakuna sababu wao walizembea ndiyo maana magaidi hao walitumia Mwanga huo kufanya Ubakaji,Utekaji na mauaji siku hiyo!!!
Nchi nyingi za kiarabu halikuwa za kufanya lolote kwa sababu hazikuwatuma wa amie Israel hivyo ni haki yao kuangalia tu maana hawakuwatuma magaidi hao.
Ni kweli kabisa Gaza inaangamia kwa sababu Hamas wanawang’ang’ania mateka wa Israel wala si vinginevyo!!
 
Unaona sasa unavyojua mambo juu juu tuu na una jump sababu ya kipondo wanachopewa Palestine ni mateka tuu wkt Israel ina mateka wa kipalestine maelfu na wengine mpk leo bado wapo kizuiani weeh mgalatia fuatilia vzr na kwa kina siasa za mashariki ya kati...kulikoni kuleta ushabiki wa kidini....hawajanza leo kutekana na mateka wanachiliana
Chanzo October 07 2023 ni baada ya serikali ya mazayuni kutangaza kutunga sheria kali za kufika hekalu takatifu na kuufanyia ukarabati hilo jambo lilipongwa kimataifa na unavyojua ubabe wao Israel ikashikilia msimamo wake lkn Hamas ikaapa lazima watakomesha hilo jambo kwa nini sasa uzembe wa ulinzi ukatokea upande wa Israel wkt wana mifumo imara wa ulinzi mpk wana mgambo wa Hamas ukajipenyeza......sababu walidhania mbinu za Hamas zingekua zile zile za kurusha maroketi huku ulinzi wake kwny mipaka ukiwa wa kawaida na askari wachache..
Kiufupi siasa za mashariki ya kati zina itikadi ya madhehebu hasa Shia na Sunni wanamgambo wote ambao wapo Lebanon Yemen Palestine Syria wanafadhiliwa na Shia ambao ni Iran...sasa hapo ndo mataifa mengine ya kiarabu yanayo ongozwa na Sunni hawataki kufungamana na mzozo huu ila yanataka itumike njia ya amani kuachiana mateka sababu kama mateka Israel wanao mateka wengi tu wa kipalestine na siku nyng..
Utake usitake Ushoga upo legalized Israel bila kufungamana na imani ya dini...jaribu kupembua sijasema uyahudi unataka Ushoga uwe halali bali hiyo ni sera yao mazayuni au kwani hakuna waislam mashoga lkn je dini inawataka ivo..hapana na ndo mana'ke ukaanza kunidhihaki mie sababu ya ukweli unataka kuupindisha....
 
Propaganda za magaidi hazisaidii. Ndio kwanza myahudi anaendelea na kazi ya kufyeka magaidi
 
Jamaaa anakonda na Gaza na IRAN !!!!! Ikiwa tunapaswa kuwapa pole watu wa Gaza basi na uyu tusimsisaau nae ni ktk Watesekaji wakubwa !!!!

mambo ya ile pande anatamani tu asikie watu wa Gaza wameondoka wote kuelekea Misri au Wameuwawa wote mana anawaita Magaidi !!!!

tumaini lake lengine kusikia IRAN inashambuliwa Vikali iyo Siku Atalala kashika Simu !!! kelo yake kuu iyo Siku ni maitaji ya mwili kwenda chooni!!!!!!!
Kelo ❌
Kero ✅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Unaona sasa unavyojua mambo juu juu tuu na una jump sababu ya kipondo wanachopewa Palestine ni mateka tuu wkt Israel ina mateka wa kipalestine maelfu na wengine mpk leo bado wapo kizuiani weeh mgalatia fuatilia vzr na kwa kina siasa za mashariki ya kati...kulikoni kuleta ushabiki wa kidini....hawajanza leo kutekana na mateka wanachiliana
Chanzo October 07 2023 ni baada ya serikali ya mazayuni kutangaza kutunga sheria kali za kufika hekalu takatifu na kuufanyia ukarabati hilo jambo lilipongwa kimataifa na unavyojua ubabe wao Israel ikashikilia msimamo wake lkn Hamas ikaapa lazima watakomesha hilo jambo kwa nini sasa uzembe wa ulinzi ukatokea upande wa Israel wkt wana mifumo imara wa ulinzi mpk wana mgambo wa Hamas ukajipenyeza......sababu walidhania mbinu za Hamas zingekua zile zile za kurusha maroketi huku ulinzi wake kwny mipaka ukiwa wa kawaida na askari wachache..
Kiufupi siasa za mashariki ya kati zina itikadi ya madhehebu hasa Shia na Sunni wanamgambo wote ambao wapo Lebanon Yemen Palestine Syria wanafadhiliwa na Shia ambao ni Iran...sasa hapo ndo mataifa mengine ya kiarabu yanayo ongozwa na Sunni hawataki kufungamana na mzozo huu ila yanataka itumike njia ya amani kuachiana mateka sababu kama mateka Israel wanao mateka wengi tu wa kipalestine na siku nyng..
Utake usitake Ushoga upo legalized Israel bila kufungamana na imani ya dini...jaribu kupembua sijasema uyahudi unataka Ushoga uwe halali bali hiyo ni sera yao mazayuni au kwani hakuna waislam mashoga lkn je dini inawataka ivo..hapana na ndo mana'ke ukaanza kunidhihaki mie sababu ya ukweli unataka kuupindisha....
Umejazwa uongo Israel haina mateka israel Ina wafungwa wa makosa mbalimbali yakiwemo wizi,Ubakaji,utekaji na Mauaji ukiwemo Ugaidi. Israel si magaidi na ndiyo maana hawana mateka
 
La ubakaji na wizi limeanza lini hilo?..sasa mbakaji tokea lini akawa mateka au mwizi chanzo cha October 07 hukijui ila unanituhumu najazwa uon kwani wewe au mie tuna nasaba gani nao...?mie nakupa logic na siasa za mashariki ya kati...na hata haujui kwa nini mataifa ya kiarabu yamekaa kimya sasa najazwa uongo je Saud Arabia na Jordan hazijashiriki kuzuia makombora ya Iran angani na mpk sasa mifumo yao ya ulinzi ya anga inafanya kazi kushirikiana na Israel sababu mataifa hayo ya kiarabu hayafungamani na itikadi na sera muiran...
Na lazima uelewe weeh mgalatia muiran sio muarabu ni muajemi kama unavyona ndo jamii utaikuta India Pakistan Uzbekistan afrighanistan na kwingineko usijaribu kujikoroga na kuchanganya fuvu lako ukawa mshabiki na kinachoendelea hujui lolote zaidi ya kujua yahud hao ni ndugu zake Yesu....mataifa ya kiarabu yanataka Israel iwatafute wana mgambo wa Hamas wanao fadhiliwa na Iran au wafanye mazungumzo ya amani kitu ambacho Israel inashindwa kutekeleza mpk sasa kuwapata Hamas nakupelekea kuuwa raia na waandishi wa habari na madaktari kwa wauguzi...kila siku inashindwa kuwamaliza Hamas wanaofadhiliwa na Iran kwa nini sasa inashindwa?
Ndo mana'ke nakwambia sio kweli kuhusu mateka hapo wanaotafutwa ni Hamas ikapelekea kuwaua madaktari na wauguzi na waandishi wa habari wakibahatisha wakidai Hamas wanajibadilisha mavazi juzi tuu wamatoka kuwafukia madaktari na wauguzi 11 wakidhania ni Hamas...jiulize wewe sasa mgalatia Gaza yote ipo tambalale hawaonekani Hamas wala mateka sasa wanapiga kwny mahema huko ndo wapo mateka?...je Hamas wapo na Gaza ipo tambalale..
Rejea kwny post zako wewe nani kalishwa uongo hujui hata kwa nini mataifa ya kiarabu yamekaa kando na mzozo huu yamefunga mipaka kabisaa licha ya mkwara wa Trump yamekaa kimyaa msala wameachiwa wenyewe wamalizane...sasa tazama post zako kana kwmb una nasaba nao za undugu hao watu wa mashariki ya kati wkt siasa zake huzijui..!
 
Wewe unaongozwa na mihemko ya kidini na kuanza kulajmy nchi za kiarabu kwa nini haziwapokei hao vibaka wa kipalestina wao wanawatumia zaidi ya wewe unavyowajua wmefanya vituko vya kutisha katika nchi mbalimbali hapo uarabuni hivyo hawataki kurudia makosa.
Pili nchi hizo haliwezi kununua ugomvi ambao si wao maana nchi hizo hazijawatuma wafanye mauaji ya Oct 07,2023 sasa ninyi mnaolalamika na kuzilaumu nchi za kiarabu mna Tumia akili za wapi???
Nakuona unabwabwaja sana na kuuliza maswali ya kijinga kabisa unaona ajabu gani Saudia na Jordan kuzuia makombola yanayopita kwenye anga lake kwenda Israel? Unajua wana mikataba gani? Je wewe hujui kuwa ni makosa kutumia anga la mtu mwingine kwenda kushambulia nchi nyingine bila ridhaa ya mwenye anga?
Imekuwa uking’ang’ana kusema vinasaba!! Vinasaba!! Mara mgaratia hapa suala si Vinasaba wala Mgaratia hapa ni HAKI tu Oct 07,2023 Hamas walivamia wakabaka,wakateka na kuua watu 1,200 kitendo hicho ndicho kilichowafikisha hapo walipo sasa wewe unayewaonea huruma endelea kubwabwaja na elewa kubwabwaja kwako hakutapunguza kipigo wanachoendelea kupigwa. Dawa ni kuwarejesha mateka tu.
 
Atakua shoga ama anapakuliwa maana waswahili wanasema aisifuye mvua ujue imemnyea
Sijamtaja yeyote ni shoga Israel ina openly gay policies kama zilivyo sera yyt kwny nchi yyt hasa mashariki ya mbali mfano Saudia Arabia au Tanzania zimepiga vita ushoga na hakuna sera hiyo au South africa openly gay policies ipo....sababu hii kushabikia shabikia ya Netanyahu sawa kushabikia kila kitu cha SSH mpk kumteka TL...na kumuita mhaini
Sasa unaniambia mie napakuliwa wapi nilipokutukana au unajua je mie ukamilifu wangu kimwili je mwenyezimungu kama kanipa neema hii tu ya kuandika na kuona?..nakuandikia hivi nipo kitandani huenda siku moja mwenyezimungu atakuleta hapa kitandani nilipo halafu tuone kama utaweza kumpakua mtu..
 
Huo ushoga ni Personal-Issues hata wewe unaweza kuwa shoga hata kama nchi yetu haija Legalize na ndiyo maana Una acha mambo ya msingi unarukia Personal issues hii inaonyesha wazi wewe huenda una Vinasaba vya USHOGA.
Kwa mtu wa kawaida kabisa hawezi kubaki anaongelea Ushenzi huo kila wakati isipokuwa yeye mwenyewe ana vinasaba vya Ushenzi huo!!
 
Back
Top Bottom