Kichwa maji kama wewe ambaye hujui hata nani anayepiga Propaganda uta węża je kujua au kutofautisha kati ya ukweli na Propaganda? Kwa ujinga wako huo huwezi kujua!!Hakuna wakusema ni nani hasa anayefanya propaganda.
Mleta mada?
Waisraeli?
Wapalestina?
Hamas?
GAZANS?
Kila mtu na zake
Ha ha ha haKichwa maji kama wewe ambaye hujui hata nani anayepiga Propaganda uta węża je kujua au kutofautisha kati ya ukweli na Propaganda? Kwa ujinga wako huo huwezi kujua!!
tatizo lako akili,ukipata hata viakili viwili utaacha kujitia kidole mwenyewe na kunusaKichwa maji kama wewe ambaye hujui hata nani anayepiga Propaganda uta węża je kujua au kutofautisha kati ya ukweli na Propaganda? Kwa ujinga wako huo huwezi kujua!!
Sasa aiseeKichwa maji kama wewe ambaye hujui hata nani anayepiga Propaganda uta węża je kujua au kutofautisha kati ya ukweli na Propaganda? Kwa ujinga wako huo huwezi kujua!!
Sawa mlokoleHizo ni ndoto za Mwendawazimu kutokea Milembe Hospital
Kwa nini hukuimba mapambio wkt Zumaridi aliposema alienda mbinguni na akaonana na Yesu...leo hii uimbe mapambio ya mbali huko...hapo hapo waraka wa Papa Francis pia hukuimba mapambioKwa mauaji ya kutisha waliyoyafanya Oct 07,2023 naunga mkono wote wahamishwe au wauwawe kama wao walivyoua watu 1,200 kwa siku moja. Sioni sababu ya kuwaonea huruma vibaka kama hao ambao mpaka sasa hivi wameshikilia mateka na wameshikilia Maiti za watu na hawataki kuachia mateka wala zile Maiti watu kama kuna haja gani kuwaonea huruma? Iran ndiye mfadhili wa Magaidi wa Hamas.Hezboullah na Houth na ndiye aliyefanikisha na kuwawezesha magaidi hao kufanya Ubakaji,Utakaji na mauaji ya watu wasio na hatia siwezi kulia wakati Iran itashambuliwa bali nitaimba sana Mapambio ya kumsifu Mungu kwa kufanikisha mkuu wa Magaidi kupigwa!!
Zumaridi na huyo Papa Francis wana Kuhusu wewe mimi hawanihusuKwa nini hukuimba mapambio wkt Zumaridi aliposema alienda mbinguni na akaonana na Yesu...leo hii uimbe mapambio ya mbali huko...hapo hapo waraka wa Papa Francis pia hukuimba mapambio
WE mchoko wa .Mombasa.utasumbuka sana, hivi Wajerumani na Wafaransa hawaji kutembea Mombasa tena uko kuleta topic za kujisimbua tu. Nani aliye kuambia Hamas kisha, huyo atakuwa ni kichaa tu kama wewe, nenda kajianike kama kambale umewacha.mdomo wazi unaweza kupata mteja tukapumzika na ujinga wako.Magaidi wa Hamas watoa video ya Propaganda baada ya kuona kipigo kwa magaidi hao kimezidi. Wamesahau kuwa ISRAEL HAITISHIWI NYAU!!
View attachment 3306612
Mtanyooka tu!!WE mchoko wa .Mombasa.utasumbuka sana, hivi Wajerumani na Wafaransa hawaji kutembea Mombasa tena uko kuleta topic za kujisimbua tu. Nani aliye kuambia Hamas kisha, huyo atakuwa ni kichaa tu kama wewe, nenda kajianike kama kambale umewacha.mdomo wazi unaweza kupata mteja tukapumzika na ujinga wako.