Mafwele yuko wapi?

Labda nchi ikikombolewa, vinginevyo kwa utawala huu wa mashetni ataweza kuwa balozi, mkuu wa mkoa au ulaji mwingine
 
Sijui ataishi wapi baada ya hiyo kazi ya upolisi.

Mimi binafsi sitokuwa na shida yoyote ile kumuua huyo mbwa.
Hutahitaji kumuua wewe..

Watamuua wao wenyewe...

Actually, ni siku na masaa tu yanahesabika, wataanza kuuana wao kwa wao wakishukiana kuwa;

"...huyu ana siri dhidi yetu, tumtoe ili kupoteza ushahidi.."

Ushirika wa kishetani kwa kawaida ndivyo ulivyo. Huanza kuutenda uovu kwa pamoja wakicheka, lakini huko mbele ya safari hugeukana na kuwa maadui na kuanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe huku wengine waki - commit suicide..!!
 
Mafwele anaishi kama digidigi,baada ya MO29 ata Jumanne Mulilo kapoa mnoooo.

No way out Mafwele atakuwa anaishi na stress sana, ukitaka kujua Hilo ndo maana wasiojulikana wanajifunikaga uso Ili raia wasiwajue, Mafwele ata kwenda Bar na kujiachia hawezi, huyu ataishi maisha ya stress hadi kufa .jitu limeteka au kuua
Polepole
Sativa
Soka
Ally Kibao
Kipanya n.k

Familia ya Polepole,Sativa, Kibao huwezi jua wanajisikiaje, hii Dunia ndogo kama Trump pamoja na kuwa na secret service ila alikoswa kiduchu sembuse hiyo taka taka Mafwele
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…