charldzosias
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,448
- 3,334
mie tandu nimelala nae kitandani juz kati.. nikashtuka kuwasha taa ndio nikamuona ilibid nimuue tu.. picha nitazichek kam zipo bado.Aseeee uku kwetu goba kawaida sana, yani kama sio nyoka basi tandu utamkuta bafuni
Afrika bhana!! Ukimkamata nyoka mpeleke msituni na siyo kumuua!! Unawezaje kuua kiumbe ambacho hakina shida na mtu?!!
Hayo mambo acha tuwaachie wenyewe wazungu, sisi ngoja tuendelee na utaratibu wetu tu mkuu, kamata nyoka piga mpaka kifoAfrika bhana!! Ukimkamata nyoka mpeleke msituni na siyo kumuua!! Unawezaje kuua kiumbe ambacho hakina shida na mtu?!!
Kumbe!....hata kitunguu pia kinamtoa resi ukikatakata vipande na kumtupia, inakuwa kama kinamuwasha hivi.
Lazima atoke alipojificha...
Yule mdudu nae anatisha sana kwa kumuangalia tu
Afrika bhana!! Ukimkamata nyoka mpeleke msituni na siyo kumuua!! Unawezaje kuua kiumbe ambacho hakina shida na mtu?!!
Mbona ukikamata mwizi haumpeleki polisi? mnajikuta mnawaua na kuwachoma moto binaadamu wenzenu kwa kuiba kandambili tu, puvumba!!!!Afrika bhana!! Ukimkamata nyoka mpeleke msituni na siyo kumuua!! Unawezaje kuua kiumbe ambacho hakina shida na mtu?!!
Mbona mkikamata mwizi hamumpeleki polisi? Mnajikuta mnamuua na kumchoma moto binaadamu mwezenu kwa kuiba kandambili tu, puvumba!!!Huwa ina kera sana -binaadamu huwa tunadhani kuwa sisi pekee ndio tuna haki ya kufurahia maisha katika huu ulimwengu
Sio kosa la nyoka kuumbwa akiwa na sumu
Wadau, nimemkamata uyu mtuhumiwa nyumbani, sasa nikasema nimwagie mafuta ya taa ili nimchome moto, aseeee ile kumwagiwa tu naona kama kapata uhai upyaa tukaanza kutafutana apa wakati nilishamponda kichwa nyang'anyang'a View attachment 1098760
Kwa kipindi hiki ni kawaida sana kwsbb wanatafuta maji, ht mm kuna siku aliingia kwangu ila hakufika ndani. Aliishia kwenge bustani ya mboga ambako kuna unyevu mwingi.Si bure utakuwa unatokea ushuani, unashangaa nyoka kuingia ndani?
Ht kiangazi kutafuta maji.Nyoka wanaingia ndani mkuu, hasa kipindi cha mvua, au ndani kwako kukiwa na panya wengi.
Koboko je? Au wanaongea tu.Mmeshawahi kutana na kifutu mfalme wa vita ndani, yule mdudu hana amani yani huo mda wa kumtafutia miundo mbinu ya kumhamisha mji utakuwepo kweli
Nyoka ni nyoka tu! Awe na mpango na mtu au hana, lazima apondwe kichwaAfrika bhana!! Ukimkamata nyoka mpeleke msituni na siyo kumuua!! Unawezaje kuua kiumbe ambacho hakina shida na mtu?!!
Bullshit!Aiseee chalii yangu yanamadhara sana kwa nyoka kwasababu yana photosynthesis
Try once to be beaten by a goddamed snake!Huwa ina kera sana -binaadamu huwa tunadhani kuwa sisi pekee ndio tuna haki ya kufurahia maisha katika huu ulimwengu
Sio kosa la nyoka kuumbwa akiwa na sumu
Yeah!Wangap tuna elimu ya kumkamata nyoka?, Hvy vifaa tunavyo? Au tulishawah kuviona na kujua kuvitumia?, Tunachojua ni kutafuta kitofa na kutwanga, thats all