Mafuta ya taa yana madhara gani kwa nyoka?

Aseeee uku kwetu goba kawaida sana, yani kama sio nyoka basi tandu utamkuta bafuni
mie tandu nimelala nae kitandani juz kati.. nikashtuka kuwasha taa ndio nikamuona ilibid nimuue tu.. picha nitazichek kam zipo bado.
 
Nyie achen uogo hako kadogo ivo mi hata hakanitishi, anyway embu nichomeke vizuri neti.......
 
Afrika bhana!! Ukimkamata nyoka mpeleke msituni na siyo kumuua!! Unawezaje kuua kiumbe ambacho hakina shida na mtu?!!
Mbona ukikamata mwizi haumpeleki polisi? mnajikuta mnawaua na kuwachoma moto binaadamu wenzenu kwa kuiba kandambili tu, puvumba!!!!
 
Huwa ina kera sana -binaadamu huwa tunadhani kuwa sisi pekee ndio tuna haki ya kufurahia maisha katika huu ulimwengu

Sio kosa la nyoka kuumbwa akiwa na sumu
Mbona mkikamata mwizi hamumpeleki polisi? Mnajikuta mnamuua na kumchoma moto binaadamu mwezenu kwa kuiba kandambili tu, puvumba!!!
 
Unapo mmwagia nyoka mafuta ya taa yaingia ktk ngozi yake kama vile binadamu alivyo ktk ngozi yake nyoka nao wana vitundu vidogo vya mwili kupumua mafuta yakimwingia anajikunja kwa kujinyongnyonga mpk anakufa ni hatari kuchoma nyoka ukivuta moshi ile harufu yk sumu inaweza kukuingia na kukuathiri na pia unapomchoma miba yake ni hatari sana kwa wengine ikitokea mtu ameikanyanga
Wadau, nimemkamata uyu mtuhumiwa nyumbani, sasa nikasema nimwagie mafuta ya taa ili nimchome moto, aseeee ile kumwagiwa tu naona kama kapata uhai upyaa tukaanza kutafutana apa wakati nilishamponda kichwa nyang'anyang'a View attachment 1098760
 
Si bure utakuwa unatokea ushuani, unashangaa nyoka kuingia ndani?
Kwa kipindi hiki ni kawaida sana kwsbb wanatafuta maji, ht mm kuna siku aliingia kwangu ila hakufika ndani. Aliishia kwenge bustani ya mboga ambako kuna unyevu mwingi.
Sikuumua ila nilirudi ndani nikafunga milango nikabaki namchungulia dirishani badae nikaona anapanda ukuta anasepa. Baada ya hapo nikatafuta mafuta ya taa nikamwaga kuzungua uzio wote wa nyumba.
 
Huwa ina kera sana -binaadamu huwa tunadhani kuwa sisi pekee ndio tuna haki ya kufurahia maisha katika huu ulimwengu

Sio kosa la nyoka kuumbwa akiwa na sumu
Try once to be beaten by a goddamed snake!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom