Mafuta ya taa yana madhara gani kwa nyoka?

Unapo mmwagia nyoka mafuta ya taa yaingia ktk ngozi yake kama vile binadamu alivyo ktk ngozi yake nyoka nao wana vitundu vidogo vya mwili kupumua mafuta yakimwingia anajikunja kwa kujinyongnyonga mpk anakufa ni hatari kuchoma nyoka ukivuta moshi ile harufu yk sumu inaweza kukuingia na kukuathiri na pia unapomchoma miba yake ni hatari sana kwa wengine ikitokea mtu ameikanyanga
Asantee kwa elimu mkuu
 
Hii nayo kali ya mwaka

Nyoka kafikaje ndani?
joanah umekulia maghorofani nini? kuna watu wanaishi maeneo ya porini kama kwa Mzee wetu Marehemu Mengi kule nyoka na wadudu kama vinyonga ni kama kwao tu. Sisi ndio tuna mipaka ila Wanyama nyoka na wadudu hawana mipaka
 
Mimi nilikutana na hii ngoma usiku kibarazani linahangaika kuteleza na tiles.
Ndo kuanza kwasha toshi ya simu na kumfukuza kumpiga picha.
20190312_195142.jpeg
 
joanah umekulia maghorofani nini? kuna watu wanaishi maeneo ya porini kama kwa Mzee wetu Marehemu Mengi kule nyoka na wadudu kama vinyonga ni kama kwao tu. Sisi ndio tuna mipaka ila Wanyama nyoka na wadudu hawana mipaka

Hapana ila sikuwahi kuona nyoka kafika hadi ndani
 
Mimi niliwahi kukutana na spitting cobra anaetema mata usiku saa7 nilienda kwa girl friend wangu yule nyoka ni kama mita 3 kwa urefu nilikuwa na tochi mkononi na kwa vile nyumba ni ya wapangaji sikutaka mtu ajue nimeingia ndani nipo mita kama 7 kabla ya kufika mlango wa gf wangu nikasikia sauti fffffffffff ffffff nikahisi kuna kitu cha hatari ndipo nikawasha tochi kumulika naona nyoka mkubwa akanyanyua shingo saizi ya kiono cha mtu akawa anataka kunirushia mata nikarudi nyuma haraka nikazima tochi nje ya mlango wa chumba kama cha tano kulikuwa na ufagio wa chelewa nikavunja upande nikawasha tochi yule nyoka kasimama vile vile nikamrushia kile kipande cha fimbo kikampiga shingoni akaanguka palepale kuna wapangaji waliosikia purukushani walipoamka walishangaa sana nyoka mweusi mnene zaidi ya mita 4 nikakoma toka siku hiyi kwenda usiku
Upo bara Gani?
 
Sikuwa najua nilikuwa nasikia kama kuna kitu kinatambaa sasa siku moja ndio nimerudi nikakutana na kitu live halafu kikazama uvunguni ndio baadae nika-connect picha
Duh aiseee!

Ila mkuu miaka mitatu yote hiyo ulishindwa kugundua?alikuwa anakula nini sasa au itakuwa alikuwa anatoka nje na kurudi ndani
 
Duh aiseee!

Ila mkuu miaka mitatu yote hiyo ulishindwa kugundua?alikuwa anakula nini sasa au itakuwa alikuwa anatoka nje na kurudi ndani
Kama uikuwepo alikuwa anatoka nje pia alikuwa anakamata panya yaani nilikuwa nasikia sana purukushani zake ila nilikuwa najua ni panya tu. Nyumba yenyewe iko Sinza Mori na ilikuwa na AC zile za kizamani ilikuwa kwa chini imekufa nahisi ndio alikuwa anajifichia mle na kutoka nje na kurudi
 
Pole sana
Mie ningeshindwa kulala humo tena
 
Back
Top Bottom