Mafuta ya mise au mbosa

Eja2

Member
Aug 30, 2017
10
3
Jamani nombeni kujua mise ikikamuliwa mafuta kwa gunia Moja inatoa mafuta kiasi gani gunia la kilo 120
 
Mise au mbosa!
Duh, sijawahi sikia hili zao.
Ngoja wajuzi waje.
Hapa aweke sawa swali lake ili nimpe majibu.
Kwa nyumbani mise "imise" ni mbegu za mchikichiki, sasa hapa anamaanisha matunda ya mchikichi au mibegu zake?
 
Gunia la Debe 10 hutoa Dumu 2.5-3

Inategemea zimekauka kiasi gani

Yategemea mabaki yako kiasi gani
 
Back
Top Bottom