Massage ni tiba jamani😂Mh! si tupo kwaresma na Ramadhan, wewe bado unahurujika tu mkuu..?
tiba ndio lakini inahamasisha vitu vingi sana!, mtu anaweza kuvunja chungu kimasihara sana!Massage ni tiba jamani😂
Hivi kama ameoa haruhusiwi kufanya na mke wake kabisa?tiba ndio lakini inahamasisha vitu vingi sana!, mtu anaweza kuvunja chungu kimasihara sana!
ulale nayo siku 30 usiidusue!, kwasisi mashekhe tunasema suna!..🤣Hivi kama ameoa haruhusiwi kufanya na mke wake kabisa?
Mafuta ya nazi, almond, parachichi, olive Oil na grapeseed oil. Bei inategemea na ujazo unaotaka inaweza kuanzia 12,000/- na kuendelea.Habari,
Naomba kuuliza ni mafuta gani manzuri kwa ajiri ya massage, na yanauzwa sh ngapi?