Mafuta ya parachichi kwa rejareja na bei ya jumla kuanzia kopo kumi

subram

Member
Feb 6, 2018
20
9
MAFUTA YA PARACHICHI (Avocado oil)

Ni mafuta yanayotengenezwa toka tunda la parachichi bila kupitishwa kwenye moto au jua. Yana kiwango kikubwa cha vitamin E ambayo inasaidia;
kuipa ngozi na kutunza unyevunyevu
inasaidia kulinda ngozi na miale ya jua
inasaidia kuondoa madoa ya chunusi
kuzuia makunyanzi

Pia mafuta haya yana kiwango kikubwa cha oleic acid ambayo inasaidia kulinda ngozi dhidi ya maambukuzi, matatizo ya ngozi na miale ya jua

MATUMIZI YA MAFUTA YA PARACHICHI
1. Yanatumika kwenye nywele na ngozi
2. kulainisha lips
3. kulainisha mikono au miguu
4. kufanya massage
5. kupikia
6. Yanatibu majeraha na makovu
7. Yanatibu na kurudisha ngozi iliyoharibika na viambata sumu au jua
8. yanatumika kuondoa make-up
9. yanaondoa weusi chini ya macho

Ni mazuri sana kuwapaka watoto kwenye ngozi na nywele

yanapatikana kwa ujazo wa ml 100 & 250
ml100 = 6000
ml 250= 10000
Pia kwa bei ya jumla kuanzia chupa 10
mob: 0746597150
IMG_20230520_220403_073.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom