Castor oil naitumia, aisee ni nzuri sana.
Mimi ilikua nywele zikikua kidogo zinakua na wekundu flani kwa mbali. Ila baada ya kuanza kutumia castor oil kwa sasa kuweka black ni kwa kupenda tu.
Huwa nayachukua kwa bi dada mmoja hapa dar, tembelea page yake insta inaitwa naturals_pride.
Sent from my SM-A105F using
JamiiForums mobile app