Mafuta ya kujichua kwa wanawake

N

NAKWEDE

JF-Expert Member
27,995
2,000
Duuh huyo jamaa ina maana alishafariki? Kuna siku aliniambiaga nimemuibia user name yake nakumbuka ilikuwa 2015 kipindi cha kampeni za Jiwe....japo hiyo user name ni kifupi cha majina yangu halisi.

R.I.P
sijui kusema ukweli
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
34,714
2,000
sasa inawezekana vipi,system ya jf inakubali mtu mwingine kuweka same ID?,sijasema ,Marcopolo original kafa,nilikua natest kupima reaction ya huyu impostor,ndo maana sikutaja ID ipi na marehemu yupi
 
Leonardchama7

Leonardchama7

JF-Expert Member
2,261
2,000
Kwanza lazima umuulize anapenda kuwa mweupe?kama jibu ni ndio,hawezi kuacha kujikoboa anaweza akameza hata vidonge vya kumbadili ngozi bila wewe kujua,kama anapenda kuwa nyororo na mga'vu atumie tu baby care au coconut oil yanatosha
 
lhera

lhera

JF-Expert Member
1,849
2,000
Kabla ya kuanza kujichubua alikuwa anapaka mafuta gani?
 
radicals

radicals

JF-Expert Member
4,339
2,000
Hili Tatizo ni la wanawake wengi sana, mie wangu nimempiga marufuku na sitaki kuona anabadilisha ngozi yake

Nimemwambia atumie lotion za kawaida kama Nivea,vaseline,cocoa butter na nyingine ambazo ni brand at least

Uzuri wake wangu amekubari na anatumia sasa
sijui kwa nini tatzo hili linawakumba wanawake wengi hivi, mimi wangu nimechoma makopo yote ya cream, nimemnunulia mafuta ya nazi parachutte, ila nahisi kanunua mengine mana huwa anavyopaka anajificha ficha, wakati mwingine anapaka mafuta bafuni
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
10,057
2,000
Fair & white lotion kopo refu la rangi ya Gold hii haichubui Mkuu...ila kwa uhakika zaidi nunua SH Amon...anabaki na ngozi yake anakua soft tu.
Kwani unafikiri hawajui kuwa kuna lotion za kuwafanya wawe laini,wanachohitaji wawe na karangi flani hivi ka weupe kama sio kujichubua kabisa,kuna mmoja ninafanya nae kazi nilikuwa najua ni mweupe,karudi juzi kutoka likizo,kwao vijijini,kumbe ni mweusi balaa...
 
Naki 12

Naki 12

JF-Expert Member
939
1,000
apake whipped shea butter kikopo cha robo kilo ni 25,000. pia anaweza kutengeneza mwenyewe kwa kununua raw shea butter akamix na olive oil. vilevile anaweza kupaka mafuta ya nazi ya kupika mwenyewe
 
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
13,652
2,000
Mpige pvmbv vizuri ngozi itatakata na kung'aa hadi ushangae.. Niko serious
 

Forum statistics


Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom