Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Si kila mtu parachute inampenda jamani







sijui kwa nini tatzo hili linawakumba wanawake wengi hivi, mimi wangu nimechoma makopo yote ya cream, nimemnunulia mafuta ya nazi parachutte, ila nahisi kanunua mengine mana huwa anavyopaka anajificha ficha, wakati mwingine anapaka mafuta bafuni