Mafuta ya Alizeti nayo hatari kwa afya - TFDA

Mafuta ya Alizeti nayo hatari kwa afya - TFDA

Hata hivyo haisaidii sana kuchagua chagua mno chakula sijui mafuta;
Kila kitu kina madhara yake ni lazima;

Je wanaowasagia watoto wachanga chakula kwenye hizo sijui mnaita blenda
si ndo mnawalisha watoto wenu chembechembe za vyuma tu (Najua hapa
nimechokoza wengi na nitatupiwa mawe ya kutosha ila ni lazima tu niseme).
 
Wameingia usoda na wale wenye viwanda vya yale yenye cholesteral watuue. Waache kutuzingua embu.
 
Back
Top Bottom