Mafuta Updates!!!

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Ningeomba Hii thread itumike kwaajili ya update za Mafuta Tuu.

1. Hapa iringa katika kituo Cha Iringa filling station(Kwa Asas) Tayari ameshashusha Lori mbili za Diesel na Anauza Diesel kama kawaida. ila Petroli hakuna. Nimejaribu kuwadadisi wahusika wanadai Petroli inaweza kufika Leo au Kesho asubuhi kwasababu Kuna malori yanapakia nishati hiyo jijini Dar Es Salaam.

Wanadai Nishati hii ya Diesel wamepakia jana jioni. SO THIS MEANS WENYE MABOHARI WAMEANZA KUUZA MAFUTA.

If you have any updates Please Zilete hapa.
 
BUA8uh5j7aqgAAAAAElFTkSuQmCC
 
Mamito utarudi lini,ile ahadi ya wine double view nistue ukirudi basi,usiku mwema.

BACK TO THE TOPIC: tatizo la mafuta linaongezwa na walanguzi wanaonunua lita 5-10 kwenye vidumu kwenda kuwauzia watu kwa buku 3-4 kwa lita.
 
Wadau nyie huku kwenu vipi? huku kwetu kuna gari moja inashuaha mafuta kituo fulani, yaani foleni mtindo mmoja.
 
Niko kwenye foleni hapa Mshindo. Kituo kinaitwa MT huwel napata mawese. Traffic wanasaidia kwasababu ya Msongamano.
 
Nilijaza mafuta fulltank jana usiku mida ya saa 5 pale Bigbon-Sinza na kulikuwa hamna foleni mambo kama zamani.
 
Back
Top Bottom