Mafuta na sabuni nzuri kwa ajili ya mtoto wa kiume wa umri wa wiki moja

Foxhunters

Senior Member
Nov 25, 2019
123
67
Hi, JF doctor naomba kuelekezwa sabuni, mafuta na poda nzuri kwa ajili ya mtoto mchanga jinsia ya kiume umri 1 week. Nikipata na picha nitafurahi zaidi.

Shukurani.
 
Kuna kuwaga na changamoto sana kwenye suala la mafuta na sabuni ya mtoto lakini ushauri wangu tumia Sabuni ya ZOAZOA na mafuta ya NAZI yale ya chupa ya blue flani hivi...!!

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Hi, JF doctor naomba kulekezwa sabuni, mafuta na poda nzuri kwa ajili ya mtoto mchanga jinsia ya kiume umri 1 week. Nikipata na picha nitafurahi zaidi.

Shukurani.
Aveeno
Kwanza ni maalumu kwa watoto na hazina harufu ya kuweza kumsababishia mafua au chochote kile
Tumia kuanzia sabuni, lotion na hutajuta
 
Mafuta nashauri mnunulie vasseline yale ya watoto, kwenye kasha utaona limeandikwa tu For baby, Nenda pharmacy utayapata
 
Hi, JF doctor naomba kuelekezwa sabuni, mafuta na poda nzuri kwa ajili ya mtoto mchanga jinsia ya kiume umri 1 week. Nikipata na picha nitafurahi zaidi.

Shukurani.
Tumia mafuta ya nazi yanaitwa Minara mazuri sana yanauzwa kichupa kidogo 2000 na kuendelea
 
Hi, JF doctor naomba kuelekezwa sabuni, mafuta na poda nzuri kwa ajili ya mtoto mchanga jinsia ya kiume umri 1 week. Nikipata na picha nitafurahi zaidi.

Shukurani.
Tumia hizi sabuni za kawaida za vipande zisizo na marashi, usitumie sabuni zenye marashi, mafuta Vaseline ya South africa ni mazuri sana
 
Hi, JF doctor naomba kuelekezwa sabuni, mafuta na poda nzuri kwa ajili ya mtoto mchanga jinsia ya kiume umri 1 week. Nikipata na picha nitafurahi zaidi.

Shukurani.
Hata mafuta ya nazi ni mazuri sana, chukua yale uliyoyaandaa mwenyewe au yale parachuti yaliyo kwenye kopo la blue
 
Back
Top Bottom