Mafuta na sabuni nzuri kwa ajili ya mtoto wa kiume wa umri wa wiki moja

Tumia Johnson baby soap

Mafuta safi ya nazi, ila jipange na bei. Mie kuna mafuta ya nazi naagiza from Dar lita 1 sh 35 000...
Awe makini na johnson baby soap zipo nzuri ambazo ni og, na zipo fake zake na ni ngumu kuzijua na hizo fake zinawaletea sana vipele watoto
 
Usimpake mtoto poda.

Tumia jamaa


Baby Johnson inaweza kumpa mafua kama atakuwa sensitive


Mafuta tumia ya nazi au olive...
 
Tumia Johnson baby soap

Mafuta safi ya nazi, ila jipange na bei. Mie kuna mafuta ya nazi naagiza from Dar lita 1 sh 35 000

Au tumia vaseline original. Blue seal. Hii nzuri for diaper changing..... kila la kheri katika safari ya ulezi.
Asante
 
Back
Top Bottom