funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,405
- 31,912
Tabia ya Mafuriko ni nzuri sana kwani huwa yanapita.
Mwaka 1997 kama sijakosea kulitokea mvua kubwa sana zilizoambatana na kimbunga na Mafuriko.
Mafuriko haya yalisomba binadamu,mifugo na mali nyingine za wananchi.
lakini baada ya mafuriko haya kupita nchi ilijipanga na kurudia hali yake ya kawaida.
Hii ndio tabia ya mafuriko...huwa yana kelele nyingiii na vishindo vikubwa lakini huwa yanapita na kuiacha jamii ikiendelea na maisha kama kawaida.
Kule Merekani kuna mgombea mwenza wa republican alipoteuliwa akikuja kama mafuriko lakini wataalamu wa mambowalisema haya ni mafuriko tu na yatapita na kumuacha obama na republican salama.
ndivyo ilivyotokea kwa sarah palin ambaye akiteuliwa kuzima nguvu ya obama kwa uoande wa wanawake lakini aliishia pasipo julikana.
Tumeshuhudia wiki mbili au tatu hivi chadema wakisherehekea mafuriko lakini sasa tumerudi kwenye mtanange...ambao mafuriko yameshapita.
Mafuriko hayo hayo yalipita ccm lakini baada ya wazee wa mapanga shasha kukata hatukuyasikia tena mafuriko.
Huu ni ukweli mchungu kwa wanaoabudu mafuriko...YAMESHAPITA!!