Mafuriko yaikumba gari, jamaa aifanyia maombi

Duuu...hata gari la Mwananchi comunication Limited limesombwa na maji ya mafuriko
Huko Lushoto Tanga na magazeti yote yamevunda kiasi cha kutofaaa
hata kufungia bagia au maandazi.

upload_2017-5-9_14-14-31.jpeg
 
Jesus sio wa mchezo alishayafanyiaga maji kitu mbaaya saana...alitembea juu ya hayo maji...yanamjua jizaz, yanamtii hayo maji...yes, he walked on water...!

Na mwingine sijui nani kwenye bible yeye alishayapasuaga kati kati afu wananzengo wakapita kuelekea upande wa pili wakiwa katikati ya safari mule ndani ya maji wananzengo wakawa wanaokota okota visamaki wakapike wavile wakifika upande wa pili. Ukiwa na mungu raha!

Ni raha sana kuwa na imani positive.
 
also he changed water to fine wine.
 
Musa aliyatandika kwa fimbo yakagawika.
 
Back
Top Bottom