Mafuriko yaikumba gari, jamaa aifanyia maombi

Mafuriko yaikumba gari, jamaa aifanyia maombi

Bwana YESU na apewe sifaaa.

Huyu MUNGU ni mzuri sana, hufanya njia pasipo na njia.

YESU asema, amepewa mamlaka ya duniani na mbinguni. Sasa ukiwa naye utakuwa na shaka gani? Jambo gani asilo liweza? Vita yake bwana nani atashinda?

Nawishi nimuone MUNGU kwa viwango vya juuu aiseee
 
Huyu jamaa analilia gari badala ya kushukuru kuoakoa roho yake!! Dunia haiishi vituko maana hapo sifa na shukrani zote angemrejeshea Allah kwa kumtoa mzima, lakini yeye hajarizika kutoka peke yake na kuiacha gari ikielea
Allah wa kazi gani ? Anamuomba Mungu wa kweli kwa jina la Yesu na gari haikwenda popote
 
Back
Top Bottom