Mafuriko yaikumba gari, jamaa aifanyia maombi

Mafuriko yaikumba gari, jamaa aifanyia maombi

Huyu jamaa analilia gari badala ya kushukuru kuoakoa roho yake!! Dunia haiishi vituko maana hapo sifa na shukrani zote angemrejeshea Allah kwa kumtoa mzima, lakini yeye hajarizika kutoka peke yake na kuiacha gari ikielea
 
Jesus sio wa mchezo alishayafanyiaga maji kitu mbaaya saana...alitembea juu ya hayo maji...yanamjua jizaz, yanamtii hayo maji...yes, he walked on water...!

Na mwingine sijui nani kwenye bible yeye alishayapasuaga kati kati afu wananzengo wakapita kuelekea upande wa pili wakiwa katikati ya safari mule ndani ya maji wananzengo wakawa wanaokota okota visamaki wakapike wavile wakifika upande wa pili. Ukiwa na mungu raha!

Ni raha sana kuwa na imani positive.
Musa
 
Sass hapo kama gari lingeenda na maji maana yake nini? Yesu angekuwa kashindwa?
 
IMG-20170509-WA0019.jpg


Liliwaka, ila ilibidi walivute litoke. Nimesoma huko instagram
 
hayo maji hayana ujazo wala nguvu ya kusukuma hio gari,
 
Huyu jamaa analilia gari badala ya kushukuru kuoakoa roho yake!! Dunia haiishi vituko maana hapo sifa na shukrani zote angemrejeshea Allah kwa kumtoa mzima, lakini yeye hajarizika kutoka peke yake na kuiacha gari ikielea
Kwani Mungu hawezi kutenda yote mawili?
Umejuaje kwamba hakushukuru kutoka salama?
 
Hii imani si ya kawaida. Mambo yanayozidi uwezo wetu na hata yale yaliyo ndani ya uwezo wetu bado yote tunamhitaji Mungu atuwezeshe. Bila yeye hatuwezi hata kunywa maji au kutembea ama kucheka.
 
Mvua zinazoendelea nchini zinasababisha mafuriko, sasa gari ya jamaa imekumtwa, jamaa akachanganyikiwa gari yake ya thamani inasombwa, akawa hana cha kufanya ikabidi apige maombi tu

Kwa imani tuu amina
 
Kwani Mungu hawezi kutenda yote mawili?
Umejuaje kwamba hakushukuru kutoka salama?
Binafsi ningekaa chini kwanza kutafakari ukuu wa Mungu wa kutoruhusu kujaribiwa kwa roho yangu ndani ya Maji , hilo gari ningeliwazia baadae
 
Amefata nin kwenye maporomoko na chuma cha bata kama hicho?... Bt any way haikuandikwa vinginevyo angesahau kama aliwahi kua na gari...
 
Back
Top Bottom