Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Mvua zinazoendelea nchini zinasababisha mafuriko, sasa gari ya jamaa imekumtwa, jamaa akachanganyikiwa gari yake ya thamani inasombwa, akawa hana cha kufanya ikabidi apige maombi tu

ni miongoni mwa zana fake ambazo North Korea walikuwa wakiwatishia nazo USA kwenye maonesho ya silahaDuuu...hilo gari litakuwa la plastic .
also he changed water to fine wine.Jesus sio wa mchezo alishayafanyiaga maji kitu mbaaya saana...alitembea juu ya hayo maji...yanamjua jizaz, yanamtii hayo maji...yes, he walked on water...!
Na mwingine sijui nani kwenye bible yeye alishayapasuaga kati kati afu wananzengo wakapita kuelekea upande wa pili wakiwa katikati ya safari mule ndani ya maji wananzengo wakawa wanaokota okota visamaki wakapike wavile wakifika upande wa pili. Ukiwa na mungu raha!
Ni raha sana kuwa na imani positive.
Musa aliyatandika kwa fimbo yakagawika.Jesus sio wa mchezo alishayafanyiaga maji kitu mbaaya saana...alitembea juu ya hayo maji...yanamjua jizaz, yanamtii hayo maji...yes, he walked on water...!
Na mwingine sijui nani kwenye bible yeye alishayapasuaga kati kati afu wananzengo wakapita kuelekea upande wa pili wakiwa katikati ya safari mule ndani ya maji wananzengo wakawa wanaokota okota visamaki wakapike wavile wakifika upande wa pili. Ukiwa na mungu raha!
Ni raha sana kuwa na imani positive.
Kwa nini mkuu?Duuu...hilo gari litakuwa la plastic .
Mvua zinazoendelea nchini zinasababisha mafuriko, sasa gari ya jamaa imekumtwa, jamaa akachanganyikiwa gari yake ya thamani inasombwa, akawa hana cha kufanya ikabidi apige maombi tu
Yesu alimshindia. Halikusombwa!Gari lilisombwa? Ilikuwaje?
Jesus sio wa mchezo alishayafanyiaga maji kitu mbaaya saana...alitembea juu ya hayo maji...yanamjua jizaz, yanamtii hayo maji...yes, he walked on water...!