Mafuriko ya wachaga moshi...baba jesca shikamoo

Niko hapa Moshi stendi, ni fujo tupu. Abiria ni wengi balaa! gari hakuna, December ilikuwa ni taabu pale Ubungo stendi, January balaa limehamia huku. Ninyi wachaga mtaacha lini tabia yenu hii iliyopitwa na wakati?? Maana mnatutaabisha na wengine tusiohusika na ma-mitambiko yenu ya kila mwisho wa mwaka.

Badilikeni bhana mkijua hii ni karne ya 21.

Watu kusafiri kwenda kwao mwishoni mwa mwaka siyo tukio la wachagga tu, nenda Kenya, Afrika Kusini, utakutana na hali hii.
 
Niko hapa Moshi stendi, ni fujo tupu. Abiria ni wengi balaa! gari hakuna, December ilikuwa ni taabu pale Ubungo stendi, January balaa limehamia huku. Ninyi wachaga mtaacha lini tabia yenu hii iliyopitwa na wakati?? Maana mnatutaabisha na wengine tusiohusika na ma-mitambiko yenu ya kila mwisho wa mwaka.

Badilikeni bhana mkijua hii ni karne ya 21.
Akili yako ndogo sana! Umelelewa na kanisa nini?
 
Ujue wachagga ndo tunalead kwenye kila kitu Acha tubaki Na ushamba wetu,Ila inawezekan umeajiriwa Na mchaga ha ha haaa! Wachagga hoyeeeee!!!
 
Niko hapa Moshi stendi, ni fujo tupu. Abiria ni wengi balaa! gari hakuna, December ilikuwa ni taabu pale Ubungo stendi, January balaa limehamia huku. Ninyi wachaga mtaacha lini tabia yenu hii iliyopitwa na wakati?? Maana mnatutaabisha na wengine tusiohusika na ma-mitambiko yenu ya kila mwisho wa mwaka.

Badilikeni bhana mkijua hii ni karne ya 21.
Mkuu ww ni fukara wa akili moja kwa moja siku ingine usirudie tena kuandika hivi..
 
Niko hapa Moshi stendi, ni fujo tupu. Abiria ni wengi balaa! gari hakuna, December ilikuwa ni taabu pale Ubungo stendi, January balaa limehamia huku. Ninyi wachaga mtaacha lini tabia yenu hii iliyopitwa na wakati?? Maana mnatutaabisha na wengine tusiohusika na ma-mitambiko yenu ya kila mwisho wa mwaka.

Badilikeni bhana mkijua hii ni karne ya 21.
wewe ndio mshamba mbwa wewe waache watu wajinafasi mbona makabila kibao hurudi kwao kipindi cha christmas mi sio mchaga ila nimekuona kama nyumbu fulani hivi kama hujui krismas dunia nzima wengi sana hurudi makwao kusherekea hata wazungu chunguza wachina nk acha hizo sio wachaga tu kwanza kuna raha yake ambayo huwezi kuijua futa uzi huu umeonekana ng'ombe fulani hivi
 
ushamba ni ww kuwepo hapo Moshi kwa huo wakati at least katoe salam kijijini kwenu
hilo jitu shamba kinoma lizubavu fulani hivi watu wanarudi kwao kusherekea eti ushamba hilo naona naona linatokea kolomije shamba fulani hivi
 
Akili yako ndogo sana! Umelelewa na kanisa nini?
Ndio nimelelewa na Kanisa, na sasa ninasubiri kumlaki Bwana Yesu mawinguni nikapumzike naye milele.

Kuhusu akili, ni kweli ninazo kidogo, - nnachomshukuru Mungu ni Ujazo wa Roho Mtakatifu Aliyefurika moyoni mwangu.

Karibu Kanisani ndg.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom