Nilikuwa nakudanganya, na ulivyo mwepesi wa kukariri joja ukakubali, hapana bado nipo mzee wangu, isipokuwa nilitaka nipumzike kidogo kusikia *****! Tatizo umekariri sayansi wakati siyo mwanasayansi, you think everything's verification is subject to emperical objective evidence, simply sayansi inasema hivyo,..., a grave mistake.
Kwa mfano, sauti yako unayotumia kuongea kila siku ulishawahi kuiona kwa kutumia your natural eyes? Kwa nini hujawahi kusema kwamba haipo? Au kwa nini maneno unayotamka huwa huyaoni ila huwa unayasikia tu hadi imebidi watu watumie utaalamu wa maandishi kuhifadhi maneno? Wewe unataka kila kitu kiwe tested na scientific instrument? How do you test things in a spritual world kwa kutumia scientific instrumenst? Before discovery ya sophisticated instruments ambazo zinaweza kumpima mtu na ku-confirm kama yuko usingizini na/au anaota (wewe unajua kabisa kwamba huwa unalala na unaota) ungeweza ku-argue kwamba watu huwa hawawi usingizini au hawaoti kwa sababu, by then hapakuwa na scientific instuments za kutest hiyo? Naona wewe hujasoma sayansi na wala huielewi unachemka chemka tu, tafuta mda nikupe tution at a very advanced level. Unatumia ujanja ujanja tu wa kukusanya habari kutoka kwenye vijarida na mitandao, na kukariri kichwani ili uje uvitumie katika kubishana na siyo kutoa hoja. You think huo ndiyo usomi. TAFUTA MUDA NIKUPE LECTURES NZURI SANA ZA SAYANSI, HASA PHYSICS, AT A VERY ADVANCED LEVEL. KALAGABAHO!
Mi sijibu wanaokimbia. We siye uliyesema nimekukimbia hapa?
Anayesema anaijua sayansi haijui. Wacha mapepe.
Wewe hata quote yako mwenyewe inakusuta.
"Believe those seeking the truth, doubt those who find it"; Andre Gide"
lol haya bwana naona kizazi cha joshua wa emmanuel tv kipo Tanzania pia
Mungu alishesema hataangamiza tena binadamu kwa gharika kama ilivokuwa wakati wa Nuhu
kama wewe umefunuliwa hivo basi yelekea Mungu alitoa ahadi ya uwongo pale alipotupa ishara ya Upinde wa mvua.Genesis 9:8 hadi 11.
kama mafuriko yatakuepo ni kwa vile sisi wenyewe tumeharibu mazingira au ni matetemeko ya kawaida hayahusiani na ghadhabu ya Mungu.
hata hivo sikatai kuwa tanzania imetumbukia katika uovu wa kutisha hata shetani mwenyewe anatushangaa
nakuunga mkono kuwa tusali daima kuomba msamaha na tuwe na toba ya kweli
ila tusiseme ni ghadhabu ya Mungu kwani ametupa uhuru wa kuchagua kumfuata yeye au kumfuata Ibilisi;
Sipingi alichosema Elisha Ray lakini nataka kumwambia kwamba huu siyo wakati wa kukariri kwamba Object fulani ni kitu fulani katika ndoto au vision. Nyoka siyo wakati wote ni shetani hivyo siyo vyema kuweka katika ufahamu wako kwamba ukiona Nyoka basi ujue ni shetani bali ni vizuri kuomba Roho wa Mungu akufunulie ili ujue kwa hakika mawazo ya Mungu kuhusu jambo hilo alilosema nawe.
Utumishi wa mazoea na kukariri zama zake zimepitwa na wakati ni vizuri kutomzoea Mungu wala kukariri.
Duh! Kupotea kidogo tu dicussion naona imeenda out of topic kidogo. Msigombane wajameni au ndo kuelimishana kwa sauti ya juu? Tena kwa mada tofauti na nloandika? LOL! Jamani msipuuzie this issue. Sio peke yangu niliyeona au kusemeshwa na Mungu kuhusu hili jambo na kama huamini ingia kwenye maombi muulize Mungu na atakwambia tu. Kila mtu ameshawahi semeshwa na Mungu katika maisha yake ila tatizo linakuja kuelewa kama ni Mungu amesema na wewe au la. Wengi wanaishia kusema 'nimeota hivi, nimeota vile'. Ndoto si za kupuuza na ni ujumbe unapewa na Mungu achilia mbali pale unapoota unayoyawaza. Maovu yetu yanatufanya tusimsikie Mungu au tusielewe anachosema. Wapo wanaoona au kusikia maagizo ya Mungu au kuota ndoto ambayo wengi wanaota. Pia waweza kuona kabisa kitu kama maono na kama huelewi muulize Mungu atakwambia ni nini. Ukikaa na Mungu vizuri utamsikia tu na kumuelewa maana kama hutaelewa bado utaingia kwenye maombi na atakuelewesha tu. Ili mradi tu unamwamini na unamwomba katika roho na kweli na si kinyume na hapo.
Kama unaamini wewe omba ili mafuriko yasitokee na hata yakitokea basi madhara yake yawe madogo. Kama huamini toka mabondeni. Tusiwe wepesi wa kukashfu mada kwani sio wote wanaoandika humu wana nia mbaya wana mzaha. Kuna watu walipuuza pale jamaa mmoja alipoandika kuhusu ajali ya ndege nchini na kama kawaida watu wakakebehi na ajali ikatokea Kigoma. Thank God hakuna aliyekufa. Watu waliomba ndo maana hakukuwa na maafa. Mungu ni wa wote na si wa waarabu au waisrael... Kama humsikii fanya juhudi umsikie na utamsikia tu.. OMBENI!!!!
Some of these people!
Sasa mtu kama huyu ndo natakiwa kumpa classical arguments za theology, nipige manyanga kama namjibu St Anselm au St Augustine.Nimwage ma utirio ya kina Russell na yaliyokuwa informed na arguments za dini za kiafrika kutoka kwa Mbiti.
It's gonna be a waste.
Where is Augustine when you need him?
You are very arrogant sir,mtu kukosea spelling haimaanishi hajui anachokiandika I assure you one thing boss before you die you will one day see the hand of God in your life and you will be a very good believer before you get 6 ft under.
Ingekuwa nakwenda kwa spelling tu labda ungekuwa na pointi.
Abadan.
Have you seen the hand of god?
Yes I saw the hand of God,I have seen today and I will keep on seeing it sir
Does his fingers bear unique fingerprints?
Yes very Unique
Mie huko unakosema nitafika, ndipo nilipotoka kwa hiyo hamna chochote ambacho utasema kutoka a believers perspective ambacho sitakijua.
You see my grandfather was raised in a vicarage- and became the vicar-, I was literally raised by the book, kwa hiyo siongei dini na imani, naongea theology na cosmogony.Sio kama mtu ambaye hajawahi kusikia neno, bali mtu aliyezaliwa katikati ya neno.
Hujajibu maswali yote ya msingi yaliyoulizwa.
Who is interested in your grandfather? Unaweza kuwa umezaliwa katika neno ukakulia katika neno lakini usiliishi neno
Sijaona swali la msingi hata moja hapo zaidi ya Pumba tu!!!!!!! Hiyo Theology sijui umeikariri wapi,Huwezi kuprove uwepo wa Mungu kwa kutumia sayansi ni kupoteza muda tu hakuna maabara utayoingia kuprove uwepo wa Mungu so if you don't believe in Him Pole sana.
Amen! Amen!kama ilivyokuwa wakati wa Nuhu, ndivyo ilivyo hadi sasa. Nabii anawaonesha yale yatakayokuwa, ninyi mnaleta Mzaha. Mkuu, tuko pamoja katika kuiombea nchi, na kwa ajili ya maombi yetu, mabaya hayataipata Tanzania.
Mtumishi Elisha wewe kanisa lako linaitwaje? Milima ya moto? Milima ya maji? River of babylon? Fgbf? Na mafuriko yasipotokea utasemaje? September after two weeks tu!!
hahahaaaa... najua ni Dar tu mkuu...Aiseeee baba yangu huku kwetu rombo itafika kweli??unanitisha mkuu
mbege yote imekatika kichwani
hahahaaaa... najua ni Dar tu mkuu...