Mafuriko Marekani, angalia picha, ingekuwa bongo pasingetosha malalamiko

Mafuriko Marekani, angalia picha, ingekuwa bongo pasingetosha malalamiko

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php



Sishangai mafuriko yanayotokea nchi za Tropic kuathiri makazi kwani uwezo wa kukinga mafuriko hayo kwa muda si rahisi tukitilia maana mvua maeneo haya ni kubwa sana tofauti na ukanda wa pande za Ulaya. Hata nchi zilizoendelea inapokuja kutokea mvua kubwa kama za Tropic mafuriko pengine huwa mabaya kuliko tuyaonaya Tanzania, lakini kwa Tanzania malalamiko yatakuwa mengi sababu ya mazoea ya kila tukio kulalamikia serikali. Oneni hizo ni baadhi ya picha nchini Marekani ambako mafuriko yametokea majuzi tu na mvua za upepo zilivyoacha majanga makubwa hali kadhalika mvua za upepo mkali zilivyo vunja nyumba.
 

Attachments

  • download (1).jpg
    download (1).jpg
    12.4 KB · Views: 1,844
  • download.jpg
    download.jpg
    7.8 KB · Views: 1,823
  • images (1).jpg
    images (1).jpg
    7.9 KB · Views: 1,814
  • images (2).jpg
    images (2).jpg
    11.4 KB · Views: 1,792
  • images (3).jpg
    images (3).jpg
    8.2 KB · Views: 1,802
  • images (4).jpg
    images (4).jpg
    4.9 KB · Views: 524
  • images (5).jpg
    images (5).jpg
    9.4 KB · Views: 1,786
  • images (6).jpg
    images (6).jpg
    9.2 KB · Views: 1,802
  • images (7).jpg
    images (7).jpg
    8.2 KB · Views: 1,801
  • images (8).jpg
    images (8).jpg
    9.5 KB · Views: 1,792
  • images (9).jpg
    images (9).jpg
    11.1 KB · Views: 1,782
  • images (10).jpg
    images (10).jpg
    9.4 KB · Views: 504
  • images (15).jpg
    images (15).jpg
    10.8 KB · Views: 1,784
  • images.jpg
    images.jpg
    9.4 KB · Views: 509
  • images (12).jpg
    images (12).jpg
    9.8 KB · Views: 1,780
  • th.jpg
    th.jpg
    13.3 KB · Views: 3,056
  • article-1380552-0BC971CE00000578-114_964x622.jpg
    article-1380552-0BC971CE00000578-114_964x622.jpg
    164.4 KB · Views: 1,814
  • d4c4102d0092cc20200f6a70670002c7.jpg
    d4c4102d0092cc20200f6a70670002c7.jpg
    65.3 KB · Views: 1,791
  • 000156a8_medium.jpeg
    000156a8_medium.jpeg
    68.4 KB · Views: 2,919
House-and-property-destroyed-by-rain.png


Vijijini hukubwa na mafuriko na kuharibiwa nyumba za makazi yao lakini huwa hayajawa reported kwa kina katika vyombo vya habari.
 
Dont copy the failure of USA on that Front mana kwa hakika sisi tukko nyuma sana sana
 
Dont copy the failure of USA on that Front mana kwa hakika sisi tukko nyuma sana sana

attachment.php


Kuwa nyuma katika nini wakati maisha ya watu mitaani na kuathirika kwa mafuriko na mvua za upepo matokea ndio hayo, nyumba ndio hizo watu ndio hao. Kufaulu kwako wangeshinda haya yasitokee lakini nyumba zao zinageuka uwanja wa kuchezea chandimu. Bongo paa huezuliwa na nyumba ukaiezeka tena, lakini huko Maekani husombwa kila kitu hayo ndiyo maendeleo unayowasifiwa kutushinda kila kitu?
 
Sisi tunapata Mafuriko kwasababu ya uzembe na upuuzi wa watu msiotii sheria,mnajenga kwenye mito na kuziba mikondo ya maji sio hii ya USA wao wamepanga miji vzr sio kama hapa ovyo ovyo
 
Kulalamika ni utaratibu mzuri tuliojiwekea ili kupunguza stress za kimaisha.
 
Daah, hii ni zaidi ya Bongo. Mola awape salama na Amani .
 
hakuna shida maana wana uwezo sie serikali yetu bado haiwezi kuhimili majanga makubwa. mola atuepushie watanzania
 
Mafuriko ya Tanzania ni kujitakia, kwani watu wanajenga Mabondeni na kwenye Njia kuu za Maji, pia hata ujenzi wetu hauna mipango na nyumba nyingi sio imara.
 
Dont copy the failure of USA on that Front mana kwa hakika sisi tukko nyuma sana sana

attachment.php



Mfumo huu wa ujenzi ambao --------- na Marekani ni wa kibepari kwa maana kwamba wewe binafsi kuijenga nyumba inakuwa vigumu bali mabepari wajenge wakuuzie nawe maisha yote uishie kuwajaza mapesa hadi unakufa na watotoa wanaridhi deni la nyumba.
 
So what are you trying to say?


Sishangai mafuriko yanayotokea nchi za Tropic kuathiri makazi kwani uwezo wa kukinga mafuriko hayo kwa muda si rahisi tukitilia maana mvua maeneo haya ni kubwa sana tofauti na ukanda wa pande za Ulaya. Hata nchi zilizoendelea inapokuja kutokea mvua kubwa kama za Tropic mafuriko pengine huwa mabaya kuliko tuyaonaya Tanzania, lakini kwa Tanzania malalamiko yatakuwa mengi sababu ya mazoea ya kila tukio kulalamikia serikali. Oneni hizo ni baadhi ya picha nchini Marekani ambako mafuriko yametokea majuzi tu na mvua za upepo zilivyoacha majanga makubwa hali kadhalika mvua za upepo mkali zilivyo vunja nyumba.[/QUOTE]
 
So what are you trying to say?


Sishangai mafuriko yanayotokea nchi za Tropic kuathiri makazi kwani uwezo wa kukinga mafuriko hayo kwa muda si rahisi tukitilia maana mvua maeneo haya ni kubwa sana tofauti na ukanda wa pande za Ulaya. Hata nchi zilizoendelea inapokuja kutokea mvua kubwa kama za Tropic mafuriko pengine huwa mabaya kuliko tuyaonaya Tanzania, lakini kwa Tanzania malalamiko yatakuwa mengi sababu ya mazoea ya kila tukio kulalamikia serikali. Oneni hizo ni baadhi ya picha nchini Marekani ambako mafuriko yametokea majuzi tu na mvua za upepo zilivyoacha majanga makubwa hali kadhalika mvua za upepo mkali zilivyo vunja nyumba.
[/QUOTE]

Kila mara yatokeapo mafuriko Tanzania hutolewa mfano kwamba nchi nyingine hasa zilizoendelea hawapatwi na majanga hayo kwa vile miundombinu na ujenzi wao wamekuwa makini. Lakini je:
  1. Mafuriko yalivyotokea na kukumba makazi ya watu na nyumba kuelea ndani kuna tofauti gani na bongo?
  2. Nyumba za bongo nafuu huezuliwa paa na ukaghalimia kuezeka tena lakini nyumba za hawa wamarekani ni ground zero.
Nilihakikisha mji mmoja maarufu huko Marekani uliokubwa na mafuriko na nyumba kuelea kwenye maji, ilichukua muda wa miezi kadhaa kuweka sawa makazi hayo. Miaka miwili baadaye yalifumuka majengo kadhaa ya makazi eneo hilo. Ingekuwa bongo tungelonga mengine.

Hivyo basi wengi wanaofikiria mazuri tu huko ughaibuni labda tungewafungua kuwa kuna mazuri mengi tu tunayowazidi ila tu hawa wazungu hawako wazi kuanika madhaifu yao ila kujisifia kwa mazuri tu.

Madaraja wamejitahidi sana kuyajenga kutokumbwa na mafuriko, lakini nyumba za makazi, viwanda na kadhalika utashangaa full kando ya mito na inapofurika majanga tupu.
 
Njoo uangalie compensation inayotolewa kati ya walio pata mafuriko bongo na USA
 
Obama ni raisi wa 44 sawa ndugu wakati tanganyika yangu my beutiful country jakaya mrisho kikwete ni raisi wa 4 !! dollar ya marekani kuna maneno yameandikwa in god we trust at !!! sisi bado sana ndugu tutasubiri miaka mia ....na laana zetu !!!
 
Sasa ujumbe wako nini hasa? what do you want to say?


UOTE=Candid Scope;9417560]
attachment.php


Kuwa nyuma katika nini wakati maisha ya watu mitaani na kuathirika kwa mafuriko na mvua za upepo matokea ndio hayo, nyumba ndio hizo watu ndio hao. Kufaulu kwako wangeshinda haya yasitokee lakini nyumba zao zinageuka uwanja wa kuchezea chandimu. Bongo paa huezuliwa na nyumba ukaiezeka tena, lakini huko Maekani husombwa kila kitu hayo ndiyo maendeleo unayowasifiwa kutushinda kila kitu?
[/QUOTE]
 
Sasa ujumbe wako nini hasa? what do you want to say?


UOTE=Candid Scope;9417560]
attachment.php


Kuwa nyuma katika nini wakati maisha ya watu mitaani na kuathirika kwa mafuriko na mvua za upepo matokea ndio hayo, nyumba ndio hizo watu ndio hao. Kufaulu kwako wangeshinda haya yasitokee lakini nyumba zao zinageuka uwanja wa kuchezea chandimu. Bongo paa huezuliwa na nyumba ukaiezeka tena, lakini huko Maekani husombwa kila kitu hayo ndiyo maendeleo unayowasifiwa kutushinda kila kitu?
[/QUOTE]

Rejea bandiko # 14 kupata jibu la swali lako, si vema kurudiarudia kitu ambacho nimeshakifafanua, la sivyo pengine hukupata wasaa kutalii mabandiko mengine katika mada hii. thanks.
 
Kuna kitu inaitwa HAARP sa sijui wana testia kwao...
 
Kuna kitu inaitwa HAARP sa sijui wana testia kwao...

Kushindwa ni kushindwa tu hakuna utetezi wa testing, mengi ukipata bahati kukaa kwa muda huko kwao utashangaa kuna yaliyo afadhali bongo, wana mapungufu mengi tu ila kawaida yao kujitangaza mazuri na kutangaza mabaya afrika.
 
Back
Top Bottom