Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,914
- 831,293
TODAYS baada ya October hutawaona tena na most likely hawatakaa warudi JF labda tu mambo yakienda mramaComrade.
Nafuatilia wengi wanaopost na ku_comment kwenye post za EL na JM naona ni recruiter wa jf yaani ni wachache wenye 200post counts.
So napata picha kama wamejiunga kwa sababu fulani hivi mh!!
Last edited by a moderator: